Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Hatari sana aiseh..

Binafsi sijawahi kumkimbia Mtuna sifikirii kufanya hivyo.

Huwa naamini kama swala lililowafanya mkakutana halijafanikiwa basi kuna maisha mengine.huwa najaribu kuvaa kiatu cha mtu kwanza..so siwezi aiseh..ila sasa akileta usumbufu ndo hapooo atakaponifahamu..vinginevyo..Sion sababu ya kumkimbia mtu wala kumuona vibaya
Kwa sasahivi unazani jeuri hiyo nnayo basi😂😂, ila by then sikuweza jamani uongo dhambi😂
 
Umenikumbusha mbali sana enzi hizo nilimpendaga member mmoja wa JF maarufu enzi hizo kwa jina la rubii
ukweli sikuwahi kumfahamu kwa sura ila taratibu nilijikuta nampenda mpaka kutamani kumwoa nilimsumbua sana inbox mpaka ikafika wakati nikaanzisha uzi kwa ajili yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema alinichomolea nje sababu kubwa ni baada ya kujua mimi nauzaga majeneza hii kitu ilimfanya anikatae lakini sio mbaya baadae nilifanikiwa kumfahamu kupitia picha kwa msaada wa member mmoja wa kike ambaye alikuwa anafahamiana naye japo aliniomba ibaki kuwa siri ila ndo nilifanikiwa kuona picha halisi za mdada na kufahamu maisha yake halisi nje ya JF kifupi alikuwa ni mdada flani mstaarabu na anajielewa.
Kazi yako ilitishia usalama wa penzi lake kwako😅😅

Alihisi Kama atakata roho kama mngekuwa pamoja.
 
Binamu imebidi nitafute mahali niliposema naangalia sura ila sijapaona. Nioneshe ni wapi mdogo wangu.
Impliedly huwezi zungumzia kitu ambacho hukimaanishi af mie lini nimeanza kuwa dogo kwako? Hebu tia adabu kidogo mama😎 kuna watu wengi sana naheshimiana nao humu!
 
Nilishamfanyia mtu enzi hizo😂😂😂 siku ya kuonana niliwahi nikakaa sehemu nilivyoona ni kakitu ka ajabu hakaeleweki 😂😂😂 nkaondoka zangu kimyakimya
aHAHAHAHA ETI KAKITU... kuna wakati unaona tu dubwasha linakuja na linaonyesha kabisa linakusaka...

SEMA MKIKUTANA WOTE MMEJIBANZA, kila mmoja anasubiria mwenzie atokee...... ndo kizungumkuti kinapoanza
 
Yaani hata kuwa mke wa 3 ningekubali tu ila ndiyo hivo umejifunga mpaka kifo kije kiwatenganishe basi tena[emoji12]

It feels good to hear from you rafiki, uzidi kubarikiwa[emoji122]
Inabidi niwe mpole tu sina namna. Inabidi nimfanyie "vetting" atakaebahatika kupata hifadhi moyoni mwako maana akikuumiza ni sawa na kuniumiza mimi [emoji1][emoji1]


Blessings received
 
aHAHAHAHA ETI KAKITU... kuna wakati unaona tu dubwasha linakuja na linaonyesha kabisa linakusaka...

SEMA MKIKUTANA WOTE MMEJIBANZA, kila mmoja anasubiria mwenzie atokee...... ndo kizungumkuti kinapoanza
Ubaya unakuja unaenda kumeet sehemu ambayo huijui lazima ung’ae macho ila kama unaijua utajibanza tu mahali
 
Hauna jeuri hiyo Kwanini??kwani ulikuja kukatiza nae tena😄😄cute bhana

Eti sina jeuri hiyo😄
Weee saivi nikijikuta si ntazeekea home😂😂 amna yule nilimpotezea bhana

Nakazia sina jeuri hiyo😂
 
Ubaya unakuja unaenda kumeet sehemu ambayo huijui lazima ung’ae macho ila kama unaijua utajibanza tu mahali
Hivi huo muda wa kuanza kujibanza huwa mnautolea wapi mwisho mje mng’atwe na tandu buree..

Siku nyingine mmekubalia kuonana sehemu nenda kawaida acheni hizi Habari za kuwindana mtakuja vunjika miguu buree..
 
Weee saivi nikijikuta si ntazeekea home😂😂 amna yule nilimpotezea bhana

Nakazia sina jeuri hiyo😂
Kumbeee...ngoja kesho na keshokutwa uje ukutana na yule mtu anafanana kama Joti wakati anaigiza vile vituko vyake.sasa pata picha,ile suruali ya Joti,kofia yake iliyokaa upande,alivyoikunja chini,kapandisha mayeno,ule mshati 🤓lazima uvunje ugoko
 
Back
Top Bottom