Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Ahaaa oky naona umejaliwa hekima, sema kiukweli huwa napingana na kauli na.maandiko ya kiimani.(dini) kwamba sote ni mfano wa Muumba. Sasa swali Yeye ana sura ngapi ?

Au tumetafasiri juu juu???

Mtu ni roho na sio mwili...naye Mungu ni roho pia, hivyo tuliumbwa kwa mfano wa Roho yake...

Ulimwengu huu ni mkusanyiko wa maroho mengi tu, sasa mtu yeye aliumbwa kwa mfano wa hiyo Roho moja yenye utimilifu/ukamilifu
 
Hahhaha mbona hiyo sijabembeleza
Nikiona yaliyokutokea kama hayo nitakupa pole
Alaaah!

Ngoja nitengeneze mazingira basi ya kupewa pole

Maana nilipoisoma hiyo pole akili yangu ikaenda kwa ule wimbo wa Prof Jay alipokuwa akipewa pole na Nargis
 
Nishawahi kumpenda mtu sijawahi kumwona. Tumewasiliana kwa simu na mpaka nyimbo kuimbiana.

Siku nakuja kumuona aiseee........... na mahusiano yakaishia pale pale.

I got Total disappointment kwa picha niliyokuwa nayo jinsi alivyo kichwani kwangu na reality... vimepishana kama ardhi na mbingu!
 
Mtu ni roho na sio mwili...naye Mungu ni roho pia, hivyo tuliumbwa kwa mfano wa Roho yake...

Ulimwengu huu ni mkusanyiko wa maroho mengi tu, sasa mtu yeye aliumbwa kwa mfano wa hiyo Roho moja yenye utimilifu/ukamilifu
Ahsante mtumishi ,unajuwa hawa wazungu bhana. Halafu pia hawa walimu wetu wa dini nao waendege shule ili wasipotoshe.

Nikurudishe kidogo umesema tumeumbwa kwa mfano wa roho ya Mungu timilifu. Mbona wanasema mwili ni hekalu lake tusiharibu. Tena wanasema mwili ni mavumbi. Yaaaniiiii
 
Nishawahi kumpenda mtu sijawahi kumwona. Tumewasiliana kwa simu na mpaka nyimbo kuimbiana.

Siku nakuja kumuona aiseee........... na mahusiano yakaishia pale pale.

I got Total disappointment kwa picha niliyokuwa nayo jinsi alivyo kichwani kwangu na reality... vimepishana kama ardhi na mbingu!
Pole mkuu ungekaa nae muda ungemzoea na kumpenda, unadhani aliko hapendwi ??

Hahahahahah
 
Kuna watu km Eclat , Noelia nk hawa nadhani wana ishi Mbezi Beach kabisaaa! niliwaona na huyu Eclat ni mtu mzima kidogo anashukiaga Makonde pale, niliona avatar yangu kwenye simu yake siku moja tukiwa kwa daladala, alikuwa ana respond message yangu, lkn yeye hakujua kuwa nimemjua.
 
Back
Top Bottom