Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
AiseeMr kausha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeMr kausha
Binamu....Nishawahi mpenda mtu simjui ata sura, tukadate na kuaachana bila hata kuonana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapenzi upofu kwahiyo hamna umuhimu wa sura [emoji23]
Binamu....
Siku zote unakaa kimya, wakati unajua pakunipata...Binamu na wewe nakupenda [emoji4][emoji4]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] jamani.Habari za wakati huu wakuu.
Wakuu hadi naandika hapa binafsi huwa natokewa na hali hii for instance, kupitia mitandao ya kijamii mfano, hapa JF kupitia mada au comment za mtu unaweza jikuta unampenda mtu usiemfahamu.
Mara kadhaa hali hii huwatokea watu na ushahidi anao kila aliewahi kutokewa na hali hii. Note: sio lazima umpende kimapenzi japo inatokea kuna wengine anapenda tu japo aone comments zako au kila anapoingia online lazima apitie profile kwako au timeline yako.
Mbaya zaidi sasa, watu wanaogopana sana humu ndani kiasi kwamba hata ukivutiwa nae au amevutiwa na wewe unapata/anapata shida anaanzanje/unaanzaje kumuaminisha kuwa wewe ni mtu mwema kwake na huna nia ovu.
Mkijitahidi sana mtachat PM akiona niaje niaje anakupiga block kimasihara. Offcoz nafahamu wapo wengi wenye mgongano wa aina hii ya kuvutiwa na baadhi ya watu hususani humu ndani watatoa ushuhuda hapa.
Ninae mpenda akisoma hii thread atajijuwa. Na naomba usione soo mama njoo PM niambie nitakupokea kwa mikono miwili. Huwezi juwa huwenda mimi ndo fungu lako!
Au nasema uongo ndugu zangu?
Abeee!Espy [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
[emoji2096]Eli alikuita.Abeee!
Ulipotelea wapi aisee![emoji3590]
Lini tena?RRONDO naye kauzu[emoji1787][emoji1787]
Siku ile watu kibao wamemtaja ila hakutokea[emoji16]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
You know.....
Warembo wengi wamekutag huko juu ukawa hutokei...baada ya kufwatilia tukagundua kumbe ulikuwa offline.Lini tena?