Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Sijui nikuambie pole, ama hongera?Basi tu aisee...
Ila kwa sasa zishike tu 😉😉😉
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui nikuambie pole, ama hongera?Basi tu aisee...
Vipi kama ikiwa ni wewe?
🙂Sijui nikuambie pole, ama hongera?
Ila kwa sasa zishike tu 😉😉😉
Uwii mbona nitatoka mbio kwenda kwa mangi kununua soda na kunywa.Vipi kama ikiwa ni wewe?
Utampongezaje?
Ni wewe.Uwii mbona nitatoka mbio kwenda kwa mangi kununua soda na kunywa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Ni wewe.
Nakutakia siku njema.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Jamani usije nifanya nikachanganyikiwa jamani.
Sema kweli[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimekamilisha lengo la Uzi.
Kwa mara nyengine nakutakia siku njema.
Kumbuka pia ahadi uliyoitoa si ya kuchanganyikiwa bali ni ya kunywa soda!
Mkuu uchebe ni nini kwani? Tupe part 2 yake basiKipindi flan niko na harakati zangu nikapanda ndani ya daladala nafasi hamna ikabidi nisimame tuu. Mbele kidogo ikapanda pisi kali moja matata mno tena sana. Toto ilo shepu alobebe sio la utani, ngozi flan iv kama picha za photoshop. Yan kiukweli ile ilikuwa pisi kali, sijui alitoka wapi jamani. Kwanza anavyonukia mpaka dereva akazima redio ndani ya gari, ila aliwasha baadae
Sasa bhana kwakuwa kuwa gari lilikuwa limejaa na watu tumesimama yeye kasimama mbele yangu, ilo wowowo sasa kaliset direct na mkunyenge wangu haya majaribu haya. Nikahisi kama umeme wa stiglers gorge umenipitia, ila nikakaza mjuba hakuamka. Yan ndio maumbile yake sio kosa lake lakini.
Nikasema sasa leo ndio tutaelewana, simjui hanijui. Eebanah nkaanza mchezeshea uchebe kwa shingo, nikaona kimya hasemi neno. Nikajua Yeeeees. Nikakaza roho ile naendelea na mautundu yangu pale, huku gari inaenda watu hawana habari af c tumebanana nikanza hisi mapigo ya moyo yameanza kumchemka......
Nikaona hapa anaweza kushuka af nisiambulie kitu. Nikatoa kisimu changu ndio nilikuwa na kiiphone flan nmekinunua siku sio mingi. Kumpa mtoto hakusita .... Kaniandikia namba za simu tatu yani alikuwa na line tatu. Kaniandikia na jina.....ewaaaah alivonipa simu yangu na yeye kasimamisha gari kaomba kushuka, hakuangalia nyuma, yan hata sura hakuniona.
Kilichofata sasa.................
Ni ndevu mamaMkuu uchebe ni nini kwani? Tupe part 2 yake basi
Hivi kudate lina maana gani? msinicheke jamanNishawahi mpenda mtu simjui ata sura, tukadate na kuaachana bila hata kuonana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapenzi upofu kwahiyo hamna umuhimu wa sura [emoji23]
Hahahahaha nimecheka pale umesema dogo karibia ajiharishie. Mambo haya yasikie tu yaani ukikuta unachotegemea sicho unaweza KUFA UKAFUFUKA NA WATU WASIJUWEHII NI TRUE STORY.
Okay inaanza ivi kuna mdogo wangu ni mtoto wa mjomba kwahiyo ni binamu yangu.
Miaka 6 ilopita huyu dogo alihitimu o'level. Kabla hajahitimu alikua nimpenzi wa Facebook sanaaa humwambii kitu aisee.Katika harakati zile za ufrendship kule fb akajikuta anakua na ukaribu na mdada ivi wakawa wanachati sana.
Sasa Kwa ule ukaribu ikafikia hatua mpaka kupeana number za simu wakawa marafiki wazito sasa basi kwenye profile ya Yule mdada alikua kaweka picha nzuri sanaaa na inavutia kwakweli na ata walipokua wanachat alikua akimtumia picha nzuri zikimuonyesha ni mzuri basi ukaribu wao ukakolea sana.
Wakawa washikaji Kwa almost miaka mi2 mpaka dogo anamaliza o'level walikua bado wanachati mpaka kufikia kutongozana lakini hawajawahi kuonan kabisaa nje ya kitumiana picha,Yule Dada alikua wa Arusha anakaa kijenge ya juu.
Kwa bahati nzuri dogo matokeo ya necta yalitoka akawa amefanya vizuri Sanaa Kwa kupata divn 2 na kukidhi vigezo vya kuendelea na high school. Selection za high school zimetoka dogo amepangiwa Lyamungo..Wakati huo mimi niko Arusha chuo nasoma moja ya vyuo vya Kati vya uhandisi Arusha pale mjini kabisa.
Dogo akanipigia cm bro nakuja Arusha naelekea Moshi naomba nipokee nitafikia kwako nikasema fresh ata usiwe na wasi nipo binamu poa poa. Kweli dogo alifika nikamchukua na mizigo yake mpaka hostel nakokaa nikaenda nae. Amepumzika akanambia lakini bro kuna dem nimekua nikichati na muda mrefu sana sana naomba uwe na Mimi maana we nimwenyeji hapa itakua poa mie nikakubali.
Kesho yake sasa mida ya saa10 nikamwambia mpigie simu dem mwambia aje hapa chuoni akampigia dem akamwambia Niko Arusha tunaweza onana dem akakubali dem akamwambia Niko kijenge jamaa akasema mie sioajui njoo chuo flani tukiite X. Dem akasema poa.
Sie tukaondoka hostel nikamwambia twende kukakae nje ya chuo pale geti dogo njia kama ya kwenda Moshi hua kuna benchi pale nje ya geti hafu hua kunaa mama anauza mahindi ya kuchoma tufanye Kula muhindi muda huo tuna msubiria mtoto mzuri sinishaona zile picha . Basi nikamwambia dogo mpigiemwambie tuko geti dogo chuoni hapa tunamsubiri.. tukawa tumekaa kwenye bench tunamsubiria mtoto.
Mara baada ya muda Fulani akawa anapiga simu sana tumekaribia nakuja na mdogo wangu mkulungwa nikasema basi kama wanakuja wawili namimi nitapa1 hapo tukasubiri muda si mrefu zikafika pikipiki mbili wakashuka wadada wawili[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] kuwacheki uwii Mungu nisamehe ila nilihisi ni wao tuna wasubiria dogo akawa ametulia sibado hajamuona mtu wake maana zile zilikua nisura tofauti..
Hahaha marakidogo moja ya wale wadada wawili nikambilikimo kafupi snaaa kakochini Yani afu anakichwa kikubwa [emoji1787][emoji1787]Mungu nisamehe kwakucheka maana ilinibidi nicheke reaction ya Yule dogo Yule mdada mfupi mbilikimo akachukua simu kupiga ikaita simu ya mwana nilichekaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sitokaa nisahau Yule alivyokua ametulia hapokei simu na kidogo akimbie jamani nilicheka dogo kidogo ajiharishie na kutaka kumlimbia dem wake mbilikimo ilibidi nimsihi Tu aongee nae afu akimaliza afute number ikibidi aachane nae.
Aisee dogo alikoma hakawahi kutongoza dem Facebook maishaa namimi nilipata funzo kunamadem wa mtandao sio wenyewe aisee.asanteni sana kazi iendelee.
Itakuwa ndevu....Mkuu uchebe ni nini kwani? Tupe part 2 yake basi
🤣🤣🤣🤣🤣Wengine mnaweza kutuchukulia poa kumbe tuna sifa mtakazo[emoji28][emoji28][emoji28]
Eti vi hipsi vya kuombea lift mjini, hivi ukiwa huna hips huwezi omba lift eeh au ukiomba hupewi jamanIla Kuna kademu kanaitwa huduma za kimihamala financial services kana macho flan ya confidence na aibu flani hiv za kike kike,
Naamini anafanana na avatar yake
Nauhakika atakuwa na chura flani hivi mchomozo, plus vi hipsi vya kuombea lift mjini,