Upo sahihi mkuu mke una mbadilisha dini wewe sio yeye akubadilishe diniKuna mdada mmoja alijaribu kunivutia kule wanaosali jmosi kisa tu nilitaka oa,nikasepa!
Ukikubali kubadilishwa dini utabadilishwa mpk na kabila, utakuwa wakugeuzwa tu....
Fukara naye mtu mkuu, yeyote ili mradi unahemaπHata fukara fresh tu boss..?
Upo miaka ngapi boss..? Maana umetisha eti yeyote ilimradi ana pumuaFukara naye mtu mkuu, yeyote ili mradi unahemaπ
DahπππHongera una bahati na waroma, mimi yeyote ili mradi anapumua π
Kuna vijana wa ovyo unakuta anabadilishwa dini ye anaona sawa TU kisa kapenda πππUpo sahihi mkuu mke una mbadilisha dini wewe sio yeye akubadilishe dini
Natimiza 40yrs mwaka huu, jua limeshazama hili,gazeti la jioni anunue nani?ππUpo miaka ngapi boss..? Maana umetisha eti yeyote ilimradi ana pumua
Hiyo ni imani yako.Mimi binafsi nachukia mtu kuoa au kuolewa na mtu wa dini nyingine!
Kwa mfano nikisikia Mkristo ameolewa na Muislamu nachukia kabisa. Hata nikisikia Mkristo ameoa Muislam nachukia kabisa hapo najua hiyo ndoa itaishia kwenye matatizo tu.Itavurugwa na Majini.
Hebu hebuu ngojaaa. aaanhaCertified Hater see ur copy π€£
Basi mtoto kuwa nae basi. Njoo kanda ya kati hapa singidani mkuu nikuachie mbegu usitesekeNatimiza 40yrs mwaka huu, jua limeshazama hili,gazeti la jioni anunue nani?ππ
Kwahiyo umewaoa wote mkuu?Mbona mimi hawa ninaowapata wote wanakuwa wapo tayari kubadili dini na kunifuata?!
Wengine mnakwama wapi aisee π