Ulishawahi kumpoteza mwenza kwa sababu ya utofauti wa kidini?

Mimi nipo kwenye Hiko kipindi.
Nipo na msichana kwanza yuko third year chuo nimemkuta bikra.

Ana akili kubwa sana Yani ana uwezo mkubwa wa fast problem skills ana time management

Mzuri sana kila mtu haamini kama Nina mmiliki.

Wazazi wake sio haba wanajitegemea nikimuoa siwezi kuoa familia nzima

Hana marafiki wengi
Muelewa
Supporter sana financially

Yani ana kila sifa ya kuwa mke ila tatizo ni dini.

Yeye mkristo KKKT
Mimi muislamu.

Naona kabisa nampoteza ila sijui nifanyje
Mungu Hana dini!

Tena m kkt kabisa Ya martin luther!!

Tia mimba kwanza,halafu Bomani fc!

Akizingua Sana unakua ISAYA Kwa muda Hadi mawimbi yakitulia!!

Dini sio kitu Cha msingi sana maishani Bali uhusiano wako na Mungu upoje!

Binafsi sio church man Wala mosque oriented lakini uhusiano wangu na Mungu ni Bora sana coz sadaka na maombi binafsi vinanisaidia maishani!!
 
Muoe mke wa pili
 
Ushauri mzuri
Ila kuhusu kumpa mimba nimejaribu sana ila majanga, nahisi ana chango mana nimepiga sana dangerous days ila hakuna maajabu.

Sijui what can I do
 
Wengine tulishajua wazazi wetu ni watu wa dini sana,. Ndio maana mie kitu cha kwanza huwa nauliza kabisa kama sio mroma mapema kila mtu apite njia yake,.

Baraka za wazazi muhimu sana aisee🙌🙌
Unae au mi mroma mwenzio nije ?
 
Hili suala limenitokea mimi, nilipatana na binti wa kilokole aliyekolea haswa katika imani yake, smart upstairs, kifupi anasifa na vigezo karibu vyote ninavyovihitaji kwa mke kasoro dini pekee, yeye mlokole, mimi ni wa Jumamos, aisee tulikaa kwenye mvutano wa nani abadili karibu mwaka, mimi nilikuwa nimeshampa plan kuwa tukishasettle huo utofauti na akawa tayari kunifata naenda kwao kupeleka posa na nilikuwa tayari kwa hilo lakini binti wapi, anataka mimi ndo nimfate, tumevutana sana sana mpaka tukashauriwa na watu wetu wa karibu lakini wapi, binti kashikilia msimamo mkali kuwa hawezi kunifata kule jmosi, nikasema sawa, nikapiga goti nikamuomba Mungu anioneshe njia ya kufanya itakayonipa amani katika nafsi, nikaamua kuchukua maamuzi ya kutafuta mwenzangu wa jumamos, siku nakutana na huyu nayetegemea kumuo hivi karibuni wala sikuwa na wazo maana nilikuwa mgeni katika eneo hilo na nilisali pale jumamos moja tu ndipo nilipomuona, bado nilikuwa kwenye stress za mlokole wangu kuwa tutasettle vipi jambo letu kumbe tayari Mungu alikuwa kashaniletea kile kinachonistahili, mwisho wa siku binti wa jumamos mambo yakawa yanaenda bila chengachenga vigezo navyovitaka pia akawa navyo cha dini pia kikachagiza, ndipo rasmi nilipofanya maamuzi nikapiga chini mlokole nikaunga kwa msabato huyu. And soon tutakuwa na ibada ya ndoa na sherehe, karibuni sana Wakuu.
 
Mimi ni muislamu yeye ni MKKKT
Nimeamua kumfata ila kwa sharti moja
Mimi naenda Kuwa Adventists na yeye aje kwenye uadventist anifate mm na amekubali soon ntakuwa wa jumamosi
 
Hongera kwa kusucrifice mkuu, hiyo mimi ilinishinda kaka.Kila la kheri Mungu awafanikishe.
 
Sawa shukrani kaka.
Tatizo unakuta binti ni Sahihi, Sasa nimpoteze mtu Sahihi kwa sababu ya mwarabu au mzungu Hali ya kuwa Mungu ni mmoja?? Hapana 😃
 
Mimi nipo kwenye Hiko kipindi.
Nipo na msichana kwanza yuko third year chuo nimemkuta bikra.

Ana akili kubwa sana Yani ana uwezo mkubwa wa fast problem skills ana time management

Mzuri sana kila mtu haamini kama Nina mmiliki.

Wazazi wake sio haba wanajitegemea nikimuoa siwezi kuoa familia nzima

Hana marafiki wengi
Muelewa
Supporter sana financially

Yani ana kila sifa ya kuwa mke ila tatizo ni dini.

Yeye mkristo KKKT
Mimi muislamu.

Naona kabisa nampoteza ila sijui nifanyje
Badilisha dini uwe KKKT
 
Sawa shukrani kaka.
Tatizo unakuta binti ni Sahihi, Sasa nimpoteze mtu Sahihi kwa sababu ya mwarabu au mzungu Hali ya kuwa Mungu ni mmoja?? Hapana 😃
Jitahidi sana akishakufata tu usichelewe kumuweka ndani mkuu, usingojee tena kaka.
 
Sawa ntajitahidi sana japo mpaka nimalize chuo mwezi wa saba ndio ntakuwa na hiyo mahali mana wameniambia 4m Mimi natafuta 1m ingine nitalipa next time uzuri barua tayari nimepeleka kwao
 
Vyema mkuu, Kila la kheri.
 
Wengine tulishajua wazazi wetu ni watu wa dini sana,. Ndio maana mie kitu cha kwanza huwa nauliza kabisa kama sio mroma mapema kila mtu apite njia yake,.

Baraka za wazazi muhimu sana aisee🙌🙌
Aisee so akitokea mkkkt ,it's a no to you?
 
Kiranga Scars Infropreneur min -me Mjuni Lwambo ulishawahi kumpoteza mweza kwasababu ya kutokuwa na dini?
Kuna msichana fulani hivi nilivyo mwambia kwamba sina imani kwenye dini na Mungu, Aliniambia Pepo tokaaa!!

Ukiishi Afrika ni kazi sana kumpata mwanamke asiye na dini.

Au labda umpate mwenye dini, Uanze kumpa darasa kuhusu suala zima la dini na Mungu.

Akielewa hapo ume win. Ila wengi ni ngumu sana kuelewa.
 
😔😔Nilimkosea demu wangu wa kisabato alisema kumnyandua eti mpaka nimuoe
 
Kuna muda unaanzisha mahusiano na mtu unaamini huyu ni wa ndoto kabisa ila linapokuja swala la dini unaishiwa nguvu kabisa.

Nilikutana na mtu mmoja alisema yeye hawezi kuolewa na mtu wa dini tofauti kwa sababu familia yake haitomruhusu na isitoshe baba yake amefariki hivyo hawezi kusaliti kiapo walichowekeana.

Nadhani ingefika mahali sasa hili jambo kwa wanafamilia litazamwe upya mana linaweza kupelekea mtu kumkosa mtu ambaye alimuona sahihikwa upande wake kisa dini.
Maisha sio ndoto,hapo ndipo mnakosea.
 
Mazana Mazana nakukumbuka Sana!
 
Back
Top Bottom