RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
Mungu Hana dini!Mimi nipo kwenye Hiko kipindi.
Nipo na msichana kwanza yuko third year chuo nimemkuta bikra.
Ana akili kubwa sana Yani ana uwezo mkubwa wa fast problem skills ana time management
Mzuri sana kila mtu haamini kama Nina mmiliki.
Wazazi wake sio haba wanajitegemea nikimuoa siwezi kuoa familia nzima
Hana marafiki wengi
Muelewa
Supporter sana financially
Yani ana kila sifa ya kuwa mke ila tatizo ni dini.
Yeye mkristo KKKT
Mimi muislamu.
Naona kabisa nampoteza ila sijui nifanyje
Tena m kkt kabisa Ya martin luther!!
Tia mimba kwanza,halafu Bomani fc!
Akizingua Sana unakua ISAYA Kwa muda Hadi mawimbi yakitulia!!
Dini sio kitu Cha msingi sana maishani Bali uhusiano wako na Mungu upoje!
Binafsi sio church man Wala mosque oriented lakini uhusiano wangu na Mungu ni Bora sana coz sadaka na maombi binafsi vinanisaidia maishani!!