Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Hapana,.Halafu ni kama bahati tu waliokua wananitokea wote na ambaye amepatikana ni mroma😃Aisee so akitokea mkkkt ,it's a no to you?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana,.Halafu ni kama bahati tu waliokua wananitokea wote na ambaye amepatikana ni mroma😃Aisee so akitokea mkkkt ,it's a no to you?
Tayari amepatikana Mroma mkuu😃Unae au mi mroma mwenzio nije ?
Achana na makubadhi mkuu ujisalimishe!Yeye mkristo KKKT
Mimi muislamu.
Yeah mie nlikua namanifest hadi dhehebu😃😃..Wazee wangu nawajua vizuri sana aisee ,. Makwazo mengine madogo madogo yanaweza kuepukikaHadi dhehebu?
Nilidhani nyie wakristo bwana na mwokozi wa maisha yenu wote ni Yesu
Hahha,. Kaazi kweli kweliMimi ni Mroma pia ni mwenyekiti wa viwawa.
Nitafia hukuhuku Roma mkuu,. Dini zote ni utapeli sikuizi so kuhama hama ni kujichosha tuRoma ilikuwa zamani, sasa hivi hamna kitu, mpaka mashoga ni mapadre hakuna lolote la kujivunia kwenye hilo genge
Kila la heriYeah mie nlikua namanifest hadi dhehebu😃😃..Wazee wangu nawajua vizuri sana aisee ,. Makwazo mengine madogo madogo yanaweza kuepukika
nilijua gen z kwa gen z, inakuwaje umepata mapema hvyo 😥 ?Tayari amepatikana Mroma mkuu😃
Ameen,.Kila la heri
Tukutane hapa after 5 yrs tukijaaliwa uzima
Wanasemaga cheza ngoma angalia na jua,. Wala sio mapema mkuu ni mipango ya Mungunilijua gen z kwa gen z, inakuwaje umepata mapema hvyo 😥 ?
Sasa si usubir kidogo tuzeeke pamoja, unaharaka ya wapi jua halijazama hili mumy ?Wanasemaga cheza ngoma angalia na jua,. Wala sio mapema mkuu ni mipango ya Mungu
Japo siyo mie uliye niuliza swali, ila sito wahi ruhusu dini iingilie suala au utaratibu wangu wowote.Kiranga Scars Infropreneur min -me Mjuni Lwambo ulishawahi kumpoteza mweza kwasababu ya kutokuwa na dini?
NDugu yangu wa karibu aliachana na bby mama wake kwasababu ya dini,walikataa hata kujibu barua yake ya posa kisa jamaa ni mkristo na hakutaka kubadili dini.Kuna muda unaanzisha mahusiano na mtu unaamini huyu ni wa ndoto kabisa ila linapokuja swala la dini unaishiwa nguvu kabisa.
Nilikutana na mtu mmoja alisema yeye hawezi kuolewa na mtu wa dini tofauti kwa sababu familia yake haitomruhusu na isitoshe baba yake amefariki hivyo hawezi kusaliti kiapo walichowekeana.
Nadhani ingefika mahali sasa hili jambo kwa wanafamilia litazamwe upya mana linaweza kupelekea mtu kumkosa mtu ambaye alimuona sahihikwa upande wake kisa dini.
Hali yetu ni ngumu sana.Akielewa hapo ume win. Ila wengi ni ngumu sana kuelewa.
Acha ujinga mwanamke unampa sifa zote hiz,,, si ubadilishe din wewMimi nipo kwenye Hiko kipindi.
Nipo na msichana kwanza yuko third year chuo nimemkuta bikra.
Ana akili kubwa sana Yani ana uwezo mkubwa wa fast problem skills ana time management
Mzuri sana kila mtu haamini kama Nina mmiliki.
Wazazi wake sio haba wanajitegemea nikimuoa siwezi kuoa familia nzima
Hana marafiki wengi
Muelewa
Supporter sana financially
Yani ana kila sifa ya kuwa mke ila tatizo ni dini.
Yeye mkristo KKKT
Mimi muislamu.
Naona kabisa nampoteza ila sijui nifanyje
Hongera una bahati na waroma, mimi yeyote ili mradi anapumua 😀Hapana,.Halafu ni kama bahati tu waliokua wananitokea wote na ambaye amepatikana ni mroma😃
Kama kkkt huyu nipe namba zake mkuu. Dini muhimu msije muita kafiri huyu. Lete sisi wa Kkkt tumchumbieMimi nipo kwenye Hiko kipindi.
Nipo na msichana kwanza yuko third year chuo nimemkuta bikra.
Ana akili kubwa sana Yani ana uwezo mkubwa wa fast problem skills ana time management
Mzuri sana kila mtu haamini kama Nina mmiliki.
Wazazi wake sio haba wanajitegemea nikimuoa siwezi kuoa familia nzima
Hana marafiki wengi
Muelewa
Supporter sana financially
Yani ana kila sifa ya kuwa mke ila tatizo ni dini.
Yeye mkristo KKKT
Mimi muislamu.
Naona kabisa nampoteza ila sijui nifanyje
Hata fukara fresh tu boss..?Hongera una bahati na waroma, mimi yeyote ili mradi anapumua 😀