Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Habari ya asubuhi.
Leo nina maumivu mno🥹. Moyo wangu unawaka moto wa tanuru na nahisi katika hali ya kibinadamu ninakosa uvumilivu💔.
Nilimpa mtu connection ya kazi lakini amegeuka mwiba kwangu🥹. Yes, ninajijua ni mwanamke jasiri sana katika kuvumilia changamoto lakini katika hili ninahisi moyo umeshindwa kuhimili. Umepondeka vibaya mno🥹.
Uwepo wako kazini umetokea kwangu na ninamshukuru Mungu sana kupitia hii kazi your parent, siblings, kids na mumeo wanapata mkate wa kila siku. Wakikushukuru na mimi ninapata Baraka pia.
Kuna siku nilikuona ukisoma nyuzi za JF so najua upo humu ndani. Sijawahi kukuomba chochote kama malipo ya kazi lakini leo ninakuomba, ”Tafadhali usiniletee shida kazini, ninaamini hustahili kunilipa chochote.” Ukikaa mbali na mimi nitashukuru.
Najua wengi mtasema kwanini usimwambie? Yes, nimeshajaribu kuzungumza nae lakini si mwelewa; yawezekana hajui thamani ya kazi, now things are getting worse 🥹. Nimejaribu kukaa mbali nawe lakini bado unanifuata. Tafadhali maumivu si sehemu ya malipo ya wema wangu.
Nina imani utausoma huu uzi.
Thank you.✌️🥂