Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Wema ukigeuka machungu basi sio wema tena.Tenda wema nenda zako
Kwa hali hiyo tutarudi kwenye kauli ya "Fikiri kabla ya kutenda" au kwa kimajuu/kimalkia "Risk assessment" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kauli hiyo itakupatia majibu haya:
Ukigundua kitendo hicho(kumpa connection) kitaleta madhara hasi, usifanye au ukifanye ukiwa unajua jinsi ya kuja kukabiliana nacho.
Kama kitaleta madhara chanya, kifanye kiroho safi.