Ulishawahi kuona malaika?

Kama unayoyasema ni Kweli,mbona watoto wadogo hawaoni Hao malaika
 
Tofauti ni kwamba hutoi hela wala sadaka ya ng'ombe, mbuzi au binadamu. Hupigwi chale wala huzunguki na kibuyu njia panda ya kike au kiume.

Sadaka yote ishatolewa na Yesu Kristo mara moja kwa vizazi vyote duniani, jukumu lako ni kumtafuta kwa bidii.
Hahah eti sadaka ishatolewa
 
Kwaiyo kwenye kuona unanishauri nini?
Okoka! Hata hivyo kuokoka sio kigezo saana cha kuwaona malaika! kwasababu walokole wanaishi kwa imani! Mungu wa Biblia anapenda watu wanaoishi kwa imani sawasawa na maandiko na Biblia! Hila ikiwa umeokoka ukamwomba Mungu kuwa unataka kuwaona malaika watajifunua na utawaona ni wazuri muno na utajaa amani (tofauti na majini na mapepo ambayo ukitaka kuyaona au ukiingia kwenye anga zao utajaa hofu!). Ushindi wanaoupata walokole unatokana na malaika!
 
Wee jamaa! Ulienda Nairobi na mizigo yoote hiyo iliyokuwa kwenye mabegi kutafuta chuo? Chuo kinatafutwa kama unatafuta bidhaa dukani? Acha urongo wewe!
 
Kweli kabisa nikiwa form six pale. Yaani ile shule ndo nilipata spiritual encounters.
Hongera natamani ningekuwa mimi
Hakuna siri kwenye ulimwengu wa roho. Kila kitu kipo wazi, hafanani na Yesu wa movie.
Yani angenitokea mimi Ningemuuliza mengi sana
Labda mzimu [emoji28]msukule hivi[emoji23][emoji23][emoji23]
Whattt
Nikisema malaika ain't real ni product ya imagination delusions na hallucinations caused by religious or cultural indoctrination nitaambiwa naharibu Uzi..🥺ngoja niache mtoe shuhuda
Unapepo wa chafu au wewe ndo pepo mwenyewe
Nimeokoka sijabatizwa na nina wito fulani japo bado sijayanyoosha sana maisha yangu ila sidhani kama ni sababu
Haya masharti Hayana tofauti na ya mganga wa kienyeji
Idiot
Kama unayoyasema ni Kweli,mbona watoto wadogo hawaoni Hao malaika
Wewe ndo macho yao
Kwahiyo watoto wadogo walikaa wakakwambia tumeona malaika?
Hapo sasa
Nimeokoka tayari ngoja niombe waje kwa ruhusa ya Mungu wetu
 
Cha nyongeza, mengine pia ni neema za Mungu wa Wakristo kuweza kuwaona.

Jambo lililo bora zaidi sio kuwaona, Jambo bora zaidi ni kuamini kuwa Mungu yupo na Yeus Kristo yupo, na wanaweza kukusaidia wakati wowote ule, ndo Imani hii.
Lakini imeandikwa ombeni lolote kwa jina langu nitalifanya ili baba atukuzwe ndani ya mwana

Sidhani kama kuzungunza nao ni dhambi?

Zamani nilikuwa na chuki nao sana hawa viumbe ila leo nataka ni prove wrong
 
Tofauti ni kwamba hutoi hela wala sadaka ya ng'ombe, mbuzi au binadamu. Hupigwi chale wala huzunguki na kibuyu njia panda ya kike au kiume.

Sadaka yote ishatolewa na Yesu Kristo mara moja kwa vizazi vyote duniani, jukumu lako ni kumtafuta kwa bidii.
Yesu kusukubiwa ni sawa na kutolewa kafara Kwa ajili ya viumbe alivyoviumba mwenyewe,

Ni sawa na mganga anavyo chinja Kuku Kwa ajili ya kafara
 
Kwahiyo watoto wadogo walikaa wakakwambia tumeona malaika?
Kumbuka hawa watoto ni wasafi hawana dhambi hata mmoja na wamebatizwa kabisa kanisani, ili takiwa watoto wawaone Malaika live lakini wapi

Hata sisi tulikuwa watoto lakini hatukuwaona Hao malaika
 
Hongera Mkuu kama umeshajua with wako wewe songa mbele itumie Io karama ambayo Mungu amekupa Kwa ajili ya watu wake
 
Hata wewe ulikuwa ni mtoto Tena uliebatizwa kabisa ,Je uliwaona Malaika, ?
Bado sijabatizwa mimi na ninavyojua mtoto ataona malaika mpaka pale watakapoanza kuongea ila kumbukumbu ndio hazitakuwepo
 
Kumbuka hawa watoto ni wasafi hawana dhambi hata mmoja na wamebatizwa kabisa kanisani, ili takiwa watoto wawaone Malaika live lakini wapi

Hata sisi tulikuwa watoto lakini hatukuwaona Hao malaika
Sasa wakiwaona watakwambia??? Na watoto wakiwaona malaika ili iweje??? Malaika ni wajumbe wa Mungu wa Biblia hutuma kwa kusudi maalamu! Sasa watoto wadogo watumiwe malaika kwa kusudi lipi hasa???? Hao ni watoto hatakuongea hawajui! Hata kutofautisha huyu ni binadamu huyu ni malaika hawajui! Haya ni mapokeo ya dini!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…