Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Kama unayoyasema ni Kweli,mbona watoto wadogo hawaoni Hao malaikaKwa ufupi malaika ni wajumbe wa Mungu wa Biblia! Kuna malaika wasiokuwa na miili wanaokuja kwa mission maalum na malaika ambao ni Walokole (hapa naongelea walokole wa ukweli sio wale wanaojitafuta) kibiblia wanaitwa "malaika", katika kitabu cha Ufunuo "kwa malaika wa makanisa yale saba", hao malaika wanaotajwa ni "walokole"! Mungu wa Biblia anaweza kuwatumia walokole walioko hapa duniani kufanyakazi kama "malaika" wasiokuwa na miili!