Ulishawahi kuona malaika?

Umenena vyema sana
 
Wewe umewahi kutumwa
 
Usiwe na shaka, utamuona siku ukiwa katika sakaratul mauti
 
Humu kuna watu wana fikra za kipumbavu sijawahi ona. Kwa hiyo ukisaidiwa na mtu asiyekufahamu wala kumfahamu ugenini ni malaika huyo? Kuota unafanya jambo katika hali ya kustaajabisha unakuwa umetembelewa na malaika? Hivi unafahamu ukitaka milango yako ya fahamu iweze kudetect hatari mbele unaweza na sio kitu cha ajabu!? Hivi unafahamu kuwa nafsi yako inaweza kutangulia mbele ikaangalia hatari au uzuri ulioko mbele uendako ila usipoiheshimu unakuja kumbuka baadae na ndipo mnaanza kusema au ndio maana nilikuwa nasita kufanya jambo fulani.

Hakuna cha malaika wala nini, achaneni na masimulizi yenu ya kipumbavu mliyokaririshwa na wakoloni wa kimishionari. Shirikisha ubongo wako ipasavyo.
 
You are lucky....
 
Mzee kwa mujibu wa Biblia..
MALAIKA WANA MAUMBO YA KUTISHA SANA YAAANU KIFUPI MALAIKA WANATISHA SANA..

BORA HATA PICHA MNAZOMCHORA SHETANI...
WANATISHA SANA...
USITAKE KUWAONA
 
Nakubaliana na Wwwle kwa 100% intuition and Insights
 
Karibu hospital ya mirembe:
 
Yaani umenifanya Nicheke Kwa Sauti..
Unajua siku hizi watu hawana elimu kabisa na kwa yule asiyekuwa na elimu wanambeba mazima...
Eti kuna malaika Walokole 🤣🤣🤣🤣🤣


Huyo sio Malaika Huyo ni self you Iliyondani yako (Roho yako) baada ya kuona mbali kuwa Ego yako ingekupoteza na usifike malengo Ulitakiwa kufika kwa kuwa Roho yako inajua kila kitu mpaka Chaguzi zako zote na matokeo yake yote..

Ndo maana ilibidi uonywe ili ubadilike na kama ungekaidi kilichofuata ungetandikwa Tukio moja Usngesahau lingekuwa Funzo lenye uchungu sana huenda ukapata Physics D au F kabisa na usingekuwa sawa...
Nikisema malaika ain't real ni product ya imagination delusions na hallucinations caused by religious or cultural indoctrination nitaambiwa naharibu Uzi..🥺ngoja niache mtoe shuhuda
Uko sawa kabisa hakuna kitu kama malaika ni just Imagination which saved on plexus
 
Kwahyo Mkuu umemuona Yesu akiwa na ndevu 🤣🤣🤣
 
Mkuu haya ndo maumbo na sura za malaika kwa mujibu wa Biblia..
Na kama utabahatika kusoma Angeology Utajua nachomaanisha..

kuna Makerubi ambao ndo malaika ngazi ya kwanza na Malaika wote ambao huitwa Arch Angel wote wapo kwenye group hili Kina Michael(Mikaeli) ,Gabriel, Raphael..
Hawa ndo huwa na uwezo wa kuongea na Mungu moja kwa moja na ukisikia malaika kaasi ujue ni Makerubi...

na kuna Seraphine (Maserafi)Hawa ndo wale walio Levo ya Pili baada ya Makerubi hawa hawana muda wa kuhoji wala Kuuliza maagizo ya Mungu wenye kutenda kama agizo lilivyo...

Na kamwe ukisikia Malaika wameasi au wameanguka Huwezi kuta mmojawapo akawa serafi wana utii wa hali ya juu sana... Kuna Malakh ambao hawa ni wajumbe na mara nyingi huweza kuchukua maumbo ya Vitu ,Wanyama au watu japo wenyewe hawana Umbo....kundi la nne ni Ophanim

Hivi ndivyo wanavyoonekana Kwa Pamoja..kwa Mujibu wa Biblia






Ntafafanua baadae KIMOJA BAADA YA KINGINE
 
Tafuta ukweli kwa moyo na si macho pekee maana macho yanadanganya unaweza kuona mazigazi ukasdhani ni maji na usiiache akili yako nyum pia .
 
Nani aliwaona akaweza kuwachora hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…