Ulishawahi kuona malaika?

Ulishawahi kuona malaika?

Nimechelewa ila nahisi kamba zilizopigwa hapa sio za nchi hii😂😂
Karibu ujinyonge katani,manila zimejaa
Nyie mnaoshobokea kuwaona malaika mtaishia kuona mashetani! Malaika kikawaida hawataki kuonekana kwa wanadamu labda kwasababu maalum! Mashetani yangependa hata yaishi kama wanadamu na yako tayari kuonekana ukifuata taratibu za mashekhe mbona unawaona faster?
Sawa ngoja tupunguze shobo
Achana nao hawa mkuu, wafia dini ni wajinga.

Huoni wanabishana na theology yao wenyewe? Ni akili hiyo?
Umeshiba kande unapumua tu
Inauwezekano lakini Kwa nyakati hizi ni nadra sana ,though huwezi kuwaona Kwa haya macho yako ya damu na nyama,wanaishi kwenye spiritual realm.lazima roho yako iwe regenerated ndio unaweza kuanza kuona spiritual entities,na SI malaika peke yake hata Pepo,wachawi n.k
Wewe umewahi kuwaona
Malaika ni mdogo baada ya Mungu ni binadamu kisha malaika then shetani

Malaika wapo kumtumikia Mungu na sisi
Nikitulia nitakuonyesha maandiko ndani ya biblia

4 Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, Na binadamu hata umwangalie?
5 Umemfanya mdogo punde kuliko Mungu; Umemvika taji ya utukufu na heshima;
6 Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako; Umevitia vitu vyote chini ya miguu yake.
Mkuu nahisi haya maandiko umekosea anyway mimi sijakuelewa
Sauli baadae Paulo akiwa muovu aliisikia sauti ya Yesu Kristo

Ni Neema tu , kama umeitwa,umeitwa tu hata ukiwa mwenye dhambi Utaona siku ikifika ya kutumika au kupewa maono.
Hili ndio jibu la uzi
 
huo hapo mstari unaelezea maserafi
View attachment 2825733
Wee jamaa badoo saaanaaah! Hapa tunaongerea malaika! Malaika maana yake "waliotumwa, au wajumbe wa Mungu". Sasa wewe unaanza kutuletea habari za maono ya viumbe wa mbinguni! Kwani hao viumbe huwa wanatumwa duniani? Si wanakaaga mbinguni karibu na kiti cha enzi cha Mungu? Kuna wenye uhai wanne, kuna wazee ishirini na nne, kuna wengine wamejaa macho pande zoote! Kasome kitabu cha ufunuo! Sisi hapa tunaongelea malaika ambao Mungu huwatuma kuwahudumia wanadamu ambao mwonekano wao ni kama binadamu! Ibrahim aliwaona wakati wanaenda kuteketeza sodoma na gomorrah na walikuwa kama wanadamu! Yakobo alipigana naye ngwara usiku kucha na kumbatiza jina la Israel! Kufupisha "malaika wanamwonekano kama binadamu". Hao wenye sura zako za kutisha na kuwatia watu ofu ni mashetani na ukiyashobokea yatakuvaa sasa hivi kama bado
DR Mambo Jambo
 
Mara ya kwanza nilikuwa chuo enzi hizo ndo nlikuwa ushamba unanitoka na nlikuwa napenda betting japo sikuwa na hela ya kubet sana. Sasa ada ilikata kabisa mzee ,nyumbani wakadai hawana pesa nlikuwa nahitaji laki saba hivi nikamilishe madeni .
Siku hyo nimekaa nawaza nirudi nyumbani kwa kuwa bila hela exam sifanyi kukaja jamaa wa kawaida sana hatujuani alinipa kikaratasi kimeandikwa mechi kadhaa akadai nikabet yy hana hela .
Nikaiangalia nikajiambia what the heck ,nlienda cyber nikaweka buku kwa account ,nkabakiza buku 9 mfukoni ,jioni nkaenda kucheki mechi ya arsenal ,kitu saa nne usiku naona message ya congratulations 830k , nlikimbia nje kama mwendawazimu siku hio ,ada nliclear last minute chenji nkajipanga nayo ,yule jama hatukupishana tena mpaka leo nlimtafuta sana .
Mpaka leo naamini yule alikuwa malaika ,leo hii sibet kabisa ila baada ya pale sijawai shinda tena mpaka kuacha kwangu
 
Hahahaha inafikirisha
 
Hahaha huyo sio malaika chief
 
Soma Quran jifunze kuhusu jibril
Hao wa Quran Kuna doubt kubwa kama ni malaika kwa sababu Kuna viumbe vingine ambavyo ni roho tupu kama malaika na zamani vilikuwa malaika vikamhasi Mungu na kulaaniwa kuchomwa mtoto wa milele na wakatupwa duniani kuwatafuta wafuasi wa kuchomwa nayo , nasikia nayo ni waumini kama ninyi na mnasali sehemu moja
 
Kwa sasa hakuna uwezekano wa kumuona malaika. Malaika walikuwa messengers duniani, sasa tuna roho mtakatifu anaishi nasi hakuna haja ya kuonana na malaika
 
Wee jamaa! Ulienda Nairobi na mizigo yoote hiyo iliyokuwa kwenye mabegi kutafuta chuo? Chuo kinatafutwa kama unatafuta bidhaa dukani? Acha urongo wewe!
Vijana wa sku hizi hamjui mambo yalivyojuwa 20 years ago, tumetoka mbali! Wakati huo chuo ni UDSM na SUA pekee.
 
Back
Top Bottom