Ulishawahi kupewa zawadi hewa mbele za watu?

Ulishawahi kupewa zawadi hewa mbele za watu?

Tulimfuatilia mpaka ile siku anamkabidhi mkuu wa mkoa mpya ofisi, ila tulicho ambulia ni tabasamu la kwenye miwani nyeusi
Dadek πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Mkuu wa mkoa alitoa zawadi hewa live..
Mngeomba hata nusu ya pesa basi
 
Wakti naoa nilikuwa kwenye final touches za mjengo wangu ambao bamkwe alikuwa anaijua hiyo site sababu ya kiherehere cha mwanae kumpeleka. Siku ya harusi akadai anajua nina ujenzi so kwenye kusapoti akasema atanipa box 100 za tiles, ndoo kumi za rangi na vigae kwa ajili ya pavement za nje ya nyumba.

Yaani nilijua tuu ile ni ahadi uchwara maana yeye mwenyewe kipindi hiko ndio alikuwa anamalizia nyumba yake maana alikuwa anajenga kwa pesa ya kiinua mgongo. Badae nikaja kujua kumbe vile ndio vitu vilivyokuwa vinamuumiza kichwa ili amalizie mjengo wake. mzee wa mjini yule hahahaa RIP
 
Ba Mkwe hakutaka kuwa nyumaπŸ˜‚πŸ™Œ
 
Ndio, kwakua nilikua nausika na suala zima la bajeti, pili ile kuenda pale ofisi za mkoa mara kwa mara bila kuambulia chochote zaidi ya baridi na upepo mkali wa kwenye zile korido
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sizani kama kuna mtu humu amepata zawadi hewa kama wewe.
Yaani yako komoa
 
Hello Wadau wa JF!

Weekend ipo vipi pande hizo?

Binafsi ipo poa nimeshapata breakfast ya chapati za kusukuma, rosti la maini na kachai ka maziwa pembeni.

Kwa wale wapenzi wa Korean Drama Leo nimerudi 2016 naangalia Shopaholic Luis.

Kwenye 1 2 3 nimekumbuka siku ya sherehe yangu kaka yangu nitampa jina la Steve , wakati wa kutoa zawadi ulipofika na yeye alikuwa miongoni waliotoka mbele kufanya hivyo, basi bwana zamu yake ikafika akachukua MIC pale Kwa mikogo tena alikuwa amejipigilia suti na shades juuπŸ™Œ akatangaza kuwa amenipa zawadi ya kunilipia trip ya kwenda DubaiπŸ˜‚ niliposikia tu hii kitu nikajua hii ni zawadi hewa kabisa Kwa sababu najua fika Kaka Steve yeye mwenyewe Kwa kipindi kile Dubai anaiona Kwa picha za googleπŸ˜‚

Je, wewe ulishawahi kupewa zawadi hewa mbele za watu ?
niliwahi ambiwa ntapewa kitu ambacho hakijawahi kutumika, siku nimepewa sasa dah, nikakuta kilikua ni zaidi ya kutumika dah πŸ’
 
Mdogo wake na baba mkwe alinipa kamba used ya kufungia ngo'mbe kama ishara ya ahadi yake ya kunipatia ngo'mbe. Imepita miaka takribani 20 sijawahi muona huyo ng'ombe
 
Back
Top Bottom