Ulishawahi kupewa zawadi hewa mbele za watu?

Ulishawahi kupewa zawadi hewa mbele za watu?

Umenikumbusha mkuu mshua alimpa sister check ya sh milioni 5 na hati ya kiwanja vyote vikiwa feki. Alienda mbele kwa mbwembwe yeye na mkewe eti zawadi ya wazazi hahaha sisi tukawa tunmchora tu maana tulikuwa na uhakika hiyo kitu haipo. Uzuri hata sister alijua tu ni uzushi akawa anacheka kinoma
Ha ha ha hii ni Kali aisee sijui DJ alimwekea nyimbo Gani kama nawaona vile 😂😂😂
 
Kuna muda tunafosiwa kufanya hivyo. Mtu umetulia zako kwenye sherehe na mchango ushatoa, unashtukizwa fulani bin fulani hebu simama tuambie utawapa wahusika wa sherehe kitu gani. Hata mimi ntaahidi uongo kwakuwa sikujiandaa.
We boya niki kualika, uka ropoka ujinga na kupasua harusini😂😂
 
Back
Top Bottom