Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Dadek ππππππππππππTulimfuatilia mpaka ile siku anamkabidhi mkuu wa mkoa mpya ofisi, ila tulicho ambulia ni tabasamu la kwenye miwani nyeusi
Awa watu ni wanafki sana, atukumuita kwenye tukio letu balii yeye ndio alitumia chawa wake ili awe mgeni rasmiγDadek ππππππππππππ
Mkuu wa mkoa alitoa zawadi hewa live..
Mngeomba hata nusu ya pesa basi
Doooh watu mnajipendelea khaaaNimepika mwenyewe ni home made
Mkuu bado una asira nae nini....Awa watu ni wanafki sana, atukumuita kwenye tukio letu balii yeye ndio alitumia chawa wake ili awe mgeni rasmiγ
Uwakika mkuu....Mikausho ya wiki nzima hamna budi kujipendelea
Ndio, kwakua nilikua nausika na suala zima la bajeti, pili ile kuenda pale ofisi za mkoa mara kwa mara bila kuambulia chochote zaidi ya baridi na upepo mkali wa kwenye zile koridoMkuu bado una asira nae nini....
Unaona kama umedhurumiwa hivi πππππππ
Ba Mkwe hakutaka kuwa nyumaππWakti naoa nilikuwa kwenye final touches za mjengo wangu ambao bamkwe alikuwa anaijua hiyo site sababu ya kiherehere cha mwanae kumpeleka. Siku ya harusi akadai anajua nina ujenzi so kwenye kusapoti akasema atanipa box 100 za tiles, ndoo kumi za rangi na vigae kwa ajili ya pavement za nje ya nyumba.
Yaani nilijua tuu ile ni ahadi uchwara maana yeye mwenyewe kipindi hiko ndio alikuwa anamalizia nyumba yake maana alikuwa anajenga kwa pesa ya kiinua mgongo. Badae nikaja kujua kumbe vile ndio vitu vilivyokuwa vinamuumiza kichwa ili amalizie mjengo wake. mzee wa mjini yule hahahaa RIP
ππππππ Sizani kama kuna mtu humu amepata zawadi hewa kama wewe.Ndio, kwakua nilikua nausika na suala zima la bajeti, pili ile kuenda pale ofisi za mkoa mara kwa mara bila kuambulia chochote zaidi ya baridi na upepo mkali wa kwenye zile korido
Walimpa akajinyongee .Kuna mdada alipewa zawadi ya kamba ukumbini eti ndio ishara ya kupewa ng'ombe mpaka leo hata kamba yenyewe haijulikani ilipo
niliwahi ambiwa ntapewa kitu ambacho hakijawahi kutumika, siku nimepewa sasa dah, nikakuta kilikua ni zaidi ya kutumika dah πHello Wadau wa JF!
Weekend ipo vipi pande hizo?
Binafsi ipo poa nimeshapata breakfast ya chapati za kusukuma, rosti la maini na kachai ka maziwa pembeni.
Kwa wale wapenzi wa Korean Drama Leo nimerudi 2016 naangalia Shopaholic Luis.
Kwenye 1 2 3 nimekumbuka siku ya sherehe yangu kaka yangu nitampa jina la Steve , wakati wa kutoa zawadi ulipofika na yeye alikuwa miongoni waliotoka mbele kufanya hivyo, basi bwana zamu yake ikafika akachukua MIC pale Kwa mikogo tena alikuwa amejipigilia suti na shades juuπ akatangaza kuwa amenipa zawadi ya kunilipia trip ya kwenda Dubaiπ niliposikia tu hii kitu nikajua hii ni zawadi hewa kabisa Kwa sababu najua fika Kaka Steve yeye mwenyewe Kwa kipindi kile Dubai anaiona Kwa picha za googleπ
Je, wewe ulishawahi kupewa zawadi hewa mbele za watu ?
Ulitaka siled πππππniliwahi ambiwa ntapewa kitu ambacho hakijawahi kutumika, siku nimepewa sasa dah, nikakuta kilikua ni zaidi ya kutumika dah π
sasa si niliambiwa hivyo ndugu zangu kwamba haijawahi kutumika kabisa πUlitaka siled πππππ
Au ukute walishindwa kutamka jina lako mkuu...
Wakaona wakubambike