Ulishawahi kupewa zawadi hewa mbele za watu?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka siku ya harusi ya dada, ukumbini nilitoa ahadi ya kumnunulia Dinner set,

Watu walicheka hadi hoi, akati mda huo niko O level.

Sema nilimnunulia nikiwa Chuo, nilitimiza Ahadi. Woiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka siku ya harusi ya dada, ukumbini nilitoa ahadi ya kumnunulia Dinner set,

Watu walicheka hadi hoi, akati mda huo niko O level.

Sema nilimnunulia nikiwa Chuo, nilitimiza Ahadi. Woiii
Pamoja ulikuwa O level ila bado hukutaka kuwa nyumaπŸ˜‚πŸ™Œ kikubwa ulitimiza kauli Hadi YakoπŸ‘
 
Huyo Bro wako ni baharia sana,sema watu kama hao kuna wakati wanasaidiaga sana kwenye kusolve majanga na misala
 
Umenikumbusha mkuu mshua alimpa sister check ya sh milioni 5 na hati ya kiwanja vyote vikiwa feki. Alienda mbele kwa mbwembwe yeye na mkewe eti zawadi ya wazazi hahaha sisi tukawa tunmchora tu maana tulikuwa na uhakika hiyo kitu haipo. Uzuri hata sister alijua tu ni uzushi akawa anacheka kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…