Umenikumbusha mkuu mshua alimpa sister check ya sh milioni 5 na hati ya kiwanja vyote vikiwa feki. Alienda mbele kwa mbwembwe yeye na mkewe eti zawadi ya wazazi hahaha sisi tukawa tunmchora tu maana tulikuwa na uhakika hiyo kitu haipo. Uzuri hata sister alijua tu ni uzushi akawa anacheka kinoma