Baba swalehe wish ungekuw karibu nikupee bia mbili za baridiSiwezi kumlaumu huyu dogo about mwandiko Ina depend na watu anao interact nao Mara kwa Mara hasa Hawa wa kizazi kipya .. ma group yao ya shule from o level usikute Wana chat hivo na wanaona it is okay
Alichofeli ni clinical , I know about it na shida ya walimu wa bongo
Tusimwongeze mawazo
Kwahiyo wewe ni nani?Clinical means ya wodini
Correction: Yeye sio Billionaire/BilioneaMdogo wangu pole sana
1.Heb chunguza ulimfanya nn huyo doctor maana inaonekana amefanya makusudi kabisa, na amekutega mahali hamna ushahidi
2. Inawezekana pia matokeo yako ndo yalikua yanamuumiza maana sisi ni binadamu,sikutetei ila unaonekana upo down to earth sio mtu wa makuu
3.ishu ya mkuu wa chuo ni ww ulimwambia au aligundua mwenyewe? hii inaweza kumfanya akakujengea kisasi pia heb iangalie kwa jicho linginine
4.kuna watu vyuoni wanakutana na matatizo makubwa mara kumi yako so sio ishu ngeni sana so jikaze,pambana uvuke hapo kumbuka "vuka yako ndio salama yako"
5.ukimaliza chuo utakuja mtaani,huku mtaani utakutana na walimwengu hao watakuletea real problems achana na hizo za academic ...ila usisahau mdogo wangu hakuna chuo cha kujifunza maisha...maisha tunajifunzia humu humu maishani..komaa
kama una ndoto ya kuwa billionaire kama unavyojiita,unatakiwa uwe na moyo wa chuma..a Heart of steel kama huna anza kuuunda sasa,lkn all in all ruka hichi kikwazo unakiweza na kiko ndani ya uwezo wako
NB: xo,xhio whatever its a non issue to me.
andika unavyotaka cha muhimu nimekuelewa na naamini nimekushauri kidogo, ndo kazi yetu kaka zako
Pole na pambana!
MP
Thanks sana Mr maisha popote: kwa ushauri wako but kindly ni kwamba ni mkuu mwenyewe alinitafuta na kuzungumzia matokeo yangu kwenye kikao kama utaratibu wa vyuo vyote vikifungua lazima kuwe na kikao angalau Mara moja per semister kwaiyo ni yeye mwenyew maana kwenye hilo somo mimi ndo niliongoza kwa highest marks theory but clinical ndo nilikuwa the lowest mwenye marks ndogo sana.Mdogo wangu pole sana
1.Heb chunguza ulimfanya nn huyo doctor maana inaonekana amefanya makusudi kabisa, na amekutega mahali hamna ushahidi
2. Inawezekana pia matokeo yako ndo yalikua yanamuumiza maana sisi ni binadamu,sikutetei ila unaonekana upo down to earth sio mtu wa makuu
3.ishu ya mkuu wa chuo ni ww ulimwambia au aligundua mwenyewe? hii inaweza kumfanya akakujengea kisasi pia heb iangalie kwa jicho linginine
4.kuna watu vyuoni wanakutana na matatizo makubwa mara kumi yako so sio ishu ngeni sana so jikaze,pambana uvuke hapo kumbuka "vuka yako ndio salama yako"
5.ukimaliza chuo utakuja mtaani,huku mtaani utakutana na walimwengu hao watakuletea real problems achana na hizo za academic ...ila usisahau mdogo wangu hakuna chuo cha kujifunza maisha...maisha tunajifunzia humu humu maishani..komaa
kama una ndoto ya kuwa billionaire kama unavyojiita,unatakiwa uwe na moyo wa chuma..a Heart of steel kama huna anza kuuunda sasa,lkn all in all ruka hichi kikwazo unakiweza na kiko ndani ya uwezo wako
NB: xo,xhio whatever its a non issue to me.
andika unavyotaka cha muhimu nimekuelewa na naamini nimekushauri kidogo, ndo kazi yetu kaka zako
Pole na pambana!
MP
Ni kweli, hakuna repeat semester kwa Mds, ila kuna carries.... Huyo sio MD ni muongo.... Hata ushauri hatakiwi kupewa maana kajitungia mambo.... Kama vipi mpe mbususu, yaan principal aongeee na mwanafunzi? Kwa kipi yaan ulichonachoHuwezi kuwa medical doctor,rather unasoma clinical medicine, hata hivyo jibidiishe Sana kwani uwezo wako ni mdogo sana, japo unamlaumu daktari ila ukweli wewe uko chini sana.
Pambana na changamoto zako usije tuulia watanzania huko utakakoenda kutibia.
Sijajua tuna changamoto ya walimu au ufahamu wa hiki kizazi una shida.
Acha ujinga..... Hakuna MD aliyenyimwa mkopo since 2015. Usidanganye.Thanks sana Mr maisha popote: kwa ushauri wako but kindly ni kwamba ni mkuu mwenyewe alinitafuta na kuzungumzia matokeo yangu kwenye kikao kama utaratibu wa vyuo vyote vikifungua lazima kuwe na kikao angalau Mara moja per semister kwaiyo ni yeye mwenyew maana kwenye hilo somo mimi ndo niliongoza kwa highest marks theory but clinical ndo nilikuwa the lowest mwenye marks ndogo sana.
Then kuhusu sehemu aliponitega ni kwamba kipindi nafanya ppr, aliniambia do everything (from clerkng up to ends) then atanipa dakik 10 for explaining everything kityu ambacho si utaratibu so apo ndo alivonifelisha kiongozi.
Pia kityu kingine ni kwamba, he hate me with no reason because he always called me Thug (muhuni) but kutoka na status angu yakuwa ni mtu loyal naitikia then nanyamaza ili mradi maisha yaendeleee,
Kuhusu kujiita ilo nickname (bilionaire), that my biggest dreams one niwe bilionaire, I know myself mi hustler joh because ilo Jina nilipewa kipindi naanza chuo kutokana na Sina mkopo wala boom ila maisha nayoisha unaweza Sema nasomeshwa na shirika La Elizabeth.. Grant but I really sense ukwel naujua mimi( ugumu wa maisha yangu na changamoto)
N:B, I don't fake my life napenda kuwa loyal.
We acha uongo. Kaulize vizuri medicine ikoje ndo uje uandike humu.Ndugu clinical xhit pale Kuna kuandika kwel pale au unajaza tyu namba kuonesha kuwa umefany mtihan
OK Sawa kiongozi kama mimi ni muongoAcha ujinga..... Hakuna MD aliyenyimwa mkopo since 2015. Usidanganye.
.. Chukulia mfano prof. Msambichaka principal wa MUST mbeya... Kozi nzima ya mwaka wa mwisho walifeli isipokuwa dada mmoja tu, lakini hakustuka... Iweje ww principal tena wa medical University, akufate ety ww ni best student wakati chuo hujamaliza.
Vijana mnakuwa waongo ndio maana hamsaidiki
Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Hausomi MD, kuwa na A masomo yote hugelishwi kurahisi hivyo.OK Sawa kiongozi ila mimi ni MD ntajitahidi kulifanyia kazi kiongozi
Si kweli kiongozi fatilia vizuri, umepew wwAcha ujinga..... Hakuna MD aliyenyimwa mkopo since 2015. Usidanganye.
.. Chukulia mfano prof. Msambichaka principal wa MUST mbeya... Kozi nzima ya mwaka wa mwisho walifeli isipokuwa dada mmoja tu, lakini hakustuka... Iweje ww principal tena wa medical University, akufate ety ww ni best student wakati chuo hujamaliza.
Vijana mnakuwa waongo ndio maana hamsaidiki
Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Huo uongo. Huwezi kuwa daktari huwezi kuandika vizuri wala kujieleza. Hizo fix za O level ndo unajaza hapa. Soma dogo, usiishi fantasy.Not nonsense but Kuna kityu ambacho people uwa wajagundua about Medical people most uwa si waandishi wazuri but not all so am sorry for miss taken
Utaratibu wa vyuo vinatofautia kiongozi ndo maana ata pass marks na GPA the do differNi kweli, hakuna repeat semester kwa Mds, ila kuna carries.... Huyo sio MD ni muongo.... Hata ushauri hatakiwi kupewa maana kajitungia mambo.... Kama vipi mpe mbususu, yaan principal aongeee na mwanafunzi? Kwa kipi yaan ulichonacho
Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Tunapigwa. Hiyo chai. Huwa hakuna hadithi za theory kwenye medicine.Kuna mtu amegundua dogo mara ajiite Medical mara clinical
Wajuvi mje hapa, yuko sahihi au tunapigwa?
Ok Sawa kiongozi ila don't judge fasterAcha ujinga..... Hakuna MD aliyenyimwa mkopo since 2015. Usidanganye.
.. Chukulia mfano prof. Msambichaka principal wa MUST mbeya... Kozi nzima ya mwaka wa mwisho walifeli isipokuwa dada mmoja tu, lakini hakustuka... Iweje ww principal tena wa medical University, akufate ety ww ni best student wakati chuo hujamaliza.
Vijana mnakuwa waongo ndio maana hamsaidiki
Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
This is also rubbish.Thanks Baba swalehe wajui kuwa are two things different kabisa . Ndo Maan si kila proffesser ni mwandishi wengine are just examiners