billioner
Member
- Feb 11, 2021
- 81
- 51
- Thread starter
- #21
OK kiongozi Nita change kwa hilo. thanksHebu chunguza mwandiko huenda ndio unakufelisha.
Msomi kama wewe huoni aibu kuandika x, yetyu, ivi?
Huko kuwahudumia wagonjwa herufi moja itasababisha mgonjwa apewe dawa tofauti.
Wasomi kama wewe ndio mnafanya sisi tusiosoma tuone kusoma sio kuelimika.