Ulishawahi kupitia changamoto kama hii?

Ulishawahi kupitia changamoto kama hii?

Hebu chunguza mwandiko huenda ndio unakufelisha.

Msomi kama wewe huoni aibu kuandika x, yetyu, ivi?

Huko kuwahudumia wagonjwa herufi moja itasababisha mgonjwa apewe dawa tofauti.

Wasomi kama wewe ndio mnafanya sisi tusiosoma tuone kusoma sio kuelimika.
OK kiongozi Nita change kwa hilo. thanks
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Ndugu clinical xhit pale Kuna kuandika kwel pale au unajaza tyu namba kuonesha kuwa umefany mtihan
nyie wasomi pumbavu kabisa , mwandiko gani huu ? 'tyu' ndio nini ?

ulistahili kufeli kwa huu ujinga wako
 
Ndugu clinical xhit pale Kuna kuandika kwel pale au unajaza tyu namba kuonesha kuwa umefany mtihan
Huwezi kuwa medical doctor,rather unasoma clinical medicine, hata hivyo jibidiishe Sana kwani uwezo wako ni mdogo sana, japo unamlaumu daktari ila ukweli wewe uko chini sana.
Pambana na changamoto zako usije tuulia watanzania huko utakakoenda kutibia.

Sijajua tuna changamoto ya walimu au ufahamu wa hiki kizazi una shida.
 
OK Sawa kiongozi ila mimi ni MD ntajitahidi kulifanyia kazi kiongozi
 
Back
Top Bottom