Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Watu wanalazimisha kufanya mambo mazuri kwa hela za watu wengine . Masikini wanapenda sherehe kubwa ajabu matajiri wanafanya sherehe ndogo .Umaskini ni tatizo sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanalazimisha kufanya mambo mazuri kwa hela za watu wengine . Masikini wanapenda sherehe kubwa ajabu matajiri wanafanya sherehe ndogo .Umaskini ni tatizo sana.
Mimi nina michango kama mi5 hivi hapa imagine, unampa nani unamuacha nani..!?
Mimi sio marafiki tuWakuu,
Imekuwa kawaida mtu anapokuwa anatarajia kuoa/kuolewa kutoa kadi za michango kwa ndugu, jamaa na marafiki ili wakamilishe jambo lao.
Kimbebe kinakuja pale umepewa kadi halafu kutokana na changamoto mbalimbali ukashindwa kutoa mchango huo. Jamaa huwa hawaelewi na ndio inaweza kuwa chanzo cha mawasiliano yenu kuharibika kuanzia hapo au kuisha siku hiyo hiyo unapomjulisha kwamba umeshindwa kuchangia kwenye harusi yake.
Urafiki wangu na besti yangu uliisha kisa nilikosa elfu 50,000 ya mchango kwenye harusi yake. Na hapo mtu umejipiga kwelikweli kutafuta mchango lakini umekosa!
Vipi wewe, imewahi kutokea ukakosana na rafiki yako kisa kushindwa kutoa mchango wa harusi? Mliweza kuwekana sawa juu ya jambo hilo baadaye au kila mmoja yuko na 50 zake mpaka leo?
Tatizo la afya ya akili ni kubwa sana Danganyika.Watu wanalazimisha kufanya mambo mazuri kwa hela za watu wengine . Masikini wanapenda sherehe kubwa ajabu matajiri wanafanya sherehe ndogo .
Hata mjini zamani tuliishi hivi tatizo likaibuka kundi la wajanja wajanja matokeo yake ndio haya mnamchangia pesa mc, mapambo na chakula shubamit huuu ujinga neverHarusi za vijijini hizi huwa zinanogaa balaa, changanyikenii tyuuh.
Changuzaa mjini kuna furani kila kamati hawakosi hao ni wapigaji balaaa miye huu ujinga wa kamati sijui ukumbi kwa wanangu hautokuwepo mume au mkewe akitaka mbwebwe hizo andae mwenyewe yani ujinga wakupigia watu sm mchango mchango jamani mbona sherehe za kipa imara upatizo au sikuku za Christmas au pasta au Eid huwa zinachangamka sana ukiwa na ndugu na jamaa kwakoMbna vijijini shuguri wana andaa wahusika, hakuna kukomoanaa
Tatizo mjini, kinacho kwamishaa ni kamatii, afu pia, ukumbi, MC, etc.
Aaaah wee
Hela ikiwepooo mkuu hakuna kisichoshindikanaa.. kuna point unabanwaaa hutambaii aiseee!Tafuteni Hela Mtoe Michango Bila Manung’uniko.
Daah, Kweli Tupo Tofauti.
Mimi michango ya ndugu na jamaa flan flan lakini huwa naikumbatia vibaya mnoo na nachanga bila hiyana yoyote.
Binafsi kuna kitu na gain from such friendships na kuwa social than just kujumuika na watu na kusherekea.
Wachache Watanielewa. Yani sijai pewa card na mtu naemjua nikaacha kuchanga…tofauti ni kwamba tu intensity ya ule mchango unaendana na ukaribu nlionao na hao wahusika.
Sijai changa chini ya laki 1 toka nianze kujitegemea na kula jasho langu mwenyewe
Naombeni mnielewe kitu kimoja watu hupenda kufanya biashara au kushirikiana na watu wanao wapenda. So kwenye maisha jitahdi sana ku build genuine relations. Moja ya mbinu yangu katika hili ni kuchangia na ku participate shughuli za watu…so not just everyone ila kuna watu kabisa unaona hapa gains zipo tena sana.
Lazima uwe na jicho la kujenga relations zenye tija. Binafsi zimenilipa sanaa. Mi hata liquor store sioni shida kumlipia mtu beer 3 mpaka 5 hata wawe mtu 3 instantly if naona kabisa mwamba ana madini huyu. Sijui kama mnanipata lakini.
Add value to ur circle, know the art of winning and influencing the right people thru serving them. Unamkuta mtu liquor store masaki. How tha fxxxk huyo mtu ni njaa ?? Lazima ana information itakayokusogeza mbele sio lazima mtu akupe hela.
(No bragg but ni ukweli / facts)
Alafu sasa michango mingi minimum ni 50,000.Mimi nina michango kama mi5 hivi hapa imagine, unampa nani unamuacha nani..!?
Hakuna kitu kama hiko. Wengine pesa tunazo na hatuwezi shindwa toa mchango wa 100,000 au 50,000 kwa kadi hata 10 ila unawaza natoa kwa ajili ya nini? Nimpendeze mtu.Hela ikiwepooo mkuu hakuna kisichoshindikanaa.. kuna point unabanwaaa hutambaii aiseee!
We mbona ulipewa nyama ya ngamia kwa expense ya wengine?!#%&(!!!!. Vipi nyama ya ngamia bado ipo au ilishaisha na ulishainya? Kwahiyo uliuza utu wako kwa vipande 30 vya nyama ya ngamia?Watu wanalazimisha kufanya mambo mazuri kwa hela za watu wengine . Masikini wanapenda sherehe kubwa ajabu matajiri wanafanya sherehe ndogo .
wewe umeshaoa?? watu kama nyinyi likikufika ndio utaelewa, hutaona hata mmoja mbaya zaidi hata michango ndio hutaiona kabisa, nilikua kama wewe najitoa sana kwa watu kilichonikuta ni bumbuwazi nilichojifunza ninamchangia alienichangiaTafuteni Hela Mtoe Michango Bila Manung’uniko.
Daah, Kweli Tupo Tofauti.
Mimi michango ya ndugu na jamaa flan flan lakini huwa naikumbatia vibaya mnoo na nachanga bila hiyana yoyote.
Binafsi kuna kitu na gain from such friendships na kuwa social than just kujumuika na watu na kusherekea.
Wachache Watanielewa. Yani sijai pewa card na mtu naemjua nikaacha kuchanga…tofauti ni kwamba tu intensity ya ule mchango unaendana na ukaribu nlionao na hao wahusika.
Sijai changa chini ya laki 1 toka nianze kujitegemea na kula jasho langu mwenyewe
Naombeni mnielewe kitu kimoja watu hupenda kufanya biashara au kushirikiana na watu wanao wapenda. So kwenye maisha jitahdi sana ku build genuine relations. Moja ya mbinu yangu katika hili ni kuchangia na ku participate shughuli za watu…so not just everyone ila kuna watu kabisa unaona hapa gains zipo tena sana.
Lazima uwe na jicho la kujenga relations zenye tija. Binafsi zimenilipa sanaa. Mi hata liquor store sioni shida kumlipia mtu beer 3 mpaka 5 hata wawe mtu 3 instantly if naona kabisa mwamba ana madini huyu. Sijui kama mnanipata lakini.
Add value to ur circle, know the art of winning and influencing the right people thru serving them. Unamkuta mtu liquor store masaki. How tha fxxxk huyo mtu ni njaa ?? Lazima ana information itakayokusogeza mbele sio lazima mtu akupe hela.
(No bragg but ni ukweli / facts)
Sikatai mkuu nina rafiki yangu nae ana msimamo huoo huo hata ukimuadd kwenye Group la harusi yako analeft...!! Kifupi nae hatakuja kuchangisha watu kwenye Harusi yakeee anavyodai... Ila kuna wengine Unakuwa unatamani sana kuchangia maana unakuta anaeoa ni rafiki na ndugu ila sasa mambo yanatusongaaa... hela ina mambo mengiHakuna kitu kama hiko. Wengine pesa tunazo na hatuwezi shindwa toa mchango wa 100,000 au 50,000 kwa kadi hata 10 ila unawaza natoa kwa ajili ya nini? Nimpendeze mtu.
Binafsi, kwenye ugonjwa au msiba natoa kiasi chochote ila harusi, kipaimara, birthday, kitchen party na ufala mwingine sitoi hata 100. Yaani mtu unataka makuu kwa expense ya wengine. Kama una sherehe yako na unataka kuifanyia mwezini, gharamikia mwenyewe. Huo ndio msimamo wangu.