mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Mbona anafundisha hadi saiviMtu anaongea masaa sita tu. Analipwa milioni nne.
Kweli maisha ni kuji Brand tu
Enzi Gara B anafundisha shule ya kata hiyo milion 4 ilikuwa ndio net ya mshahara wake wa miezi nane.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app