Ulishawahi kupoteza marafiki sababu ulishindwa kutoa mchango wa harusi?

Watu wengi wanadhani labda ni uchoyo, kuna muda mtu unakua huna unaweza ukajipiga piga ukatoa hata nusu bado watu wananuna. Alafu hali za maisha zinatofautiana unakuta mwingne kisa maisha yake kashajipata fresh basi anadhani na wengine wako na hali kama yake. Maisha tunatofautiana sana basi tu kuna wengine wanajisahaulisha.
 
Shule flan ya kata ipo ilala nimesahau jina

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Ukiona umeanza na kusema umesahau. Ujue ni unahisi ama unabahatisha

Uhalisia ni kwamba Gara B alikuwa mwalimu wa somo la English na Georgaphy katika shule ya kata inayoitwa Temeke Secondary. Ipo nyuma ya jengo la stesheni ya Tazara.

Kazi ya ualimu aliacha mwaka 2016. Toka hapo ni anafanya kazi zake za kujiajiri tu. Na walimu wenzake wa temeke sec. walimfanyia sherehe ndogo ya kumuaga

Ilala Garab ni kwao alipokulia.

Amesoma shule ya msingi msimbazi iliyopo ilala
 
Jamaa anaingiza 4mil kila sherehe tena na zaidiii means kwa mwezi akiwa na sherehe 10 minimum ni mil 40[emoji1][emoji1][emoji1] Aisee bado zile za kiserikali anapokea zaidi ya 10mil per sherehe ukutee.. Daah kufumba kufumbuaaa jamaa yulee amepaaaa maishaa hayaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…