Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

Umeanza kung'onoka naye toka lini.. Unaweza kucheck hata mda/umri wa mimba japo DNA ni muhimu sana...ila hili suala la kutoa majibu yanayofanana nawaza kulikubali maana wanaogopa mtoto kukosa mlezi/malezi/huduma so humanely
Atakosaje malezi wakati baba yake original yupo. Na huyo mwanamke anamjua. Au alipata mimba kimiujiza

Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana. Ni changamoto sana.
Maadamu keshasema ni mimba yako, mpe support yote anayohitaji mpaka ajifungue. Akishajifungua then utaamua. Kama kwa mfano mtoto anafanana sana na wewe (unaweza hata usihitaji DNA). Kama hafanani na wewe na hutaki kuwa social father wala kuishi kwa mashaka then utapima DNA.

Kwa sasa anaweza kupima umri wa mimba na roughly ukakokotoa tarehe au mwezi ambao mimba iliingia na kulinganisha na uhalisia wa mahusioano yenu. Kwa mfano, kama mimba ina umri wa miezi mitatu na wewe umekuwa na mahusiano nae kwa miezi miwili, hiyo itakuwa sababu tosha ya kutia mashaka. Lakini kama nilivyosema awali usimuache kwa indicator hiyo pekee.....subiri mtoto azaliwe!

Na hata kama sio mtoto wako, bado sio issue sana. Mbona watu wengi tu wanaoa wanawake wenye watoto....tena sio mmoja! Unampenda? Anakupenda?
 
Ahsantee sana Ndugu... Ngoja niwe mpole, i know miez tisa sio Mingi. Nashukuru kwa ushauri huu.
 
Kaka ulikutana na chizi fresh[emoji1787]......alaf muwe mnatumia condoms jaman sio kila kona mnapiga kavu kavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1] jaman wewe sio unataka kutuvunja mbavu tu hapa
 
Uko sawa, hii ilishamtokea mtu.
 
Hawa wanawake ni wajanja na wana akili sana. Me kuna mmoja hapa nasikilizia nimeambiwa ana mimba ya mwezi mmoja na kweli nilipita nae kavu japo anaishi na mshikaji wake mpk leo. So sijui kama ni yangu au lah.
 
According to yeye anasema ujauzito una week saba but me nlisha-suspect tangu kitambo and nkamwambie bas tukapime kama ana ujauzito akawa "Hataki"... Just imagine mtu hataki kujua hali yake ya Afya?!?? Especially swala la ujauzito?
Nakushauri ukitaka kuanzisha mahusiano na mwanamke jaribuni kupima kwanza,magonjwa ya zinaa na mimba siyo mnakutana tu kama mbwa
 
Tambua mimba inaingia kwa siku moja pale tu mnapomaliza kujamiana kama mwanamke alikuwa kwenye siku zake za hatari na ww Kama una uwezo wa kupachika mimba,kuna wanawake wako vzr sana kuhesabu cku zao,cha muhimu jaribuni kupima kabla hamjaanza kunyanduana,kuna ukimwi na mimba pamoja na magonjwa mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…