Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan ni under age?Af cha ajabu anatishia kujiua.. Et nisipokubali atawaambia wazaz wake pamoja na wazaz na ndugu zangu kwann anajiua, then anajitoa uhai.
Atakosaje malezi wakati baba yake original yupo. Na huyo mwanamke anamjua. Au alipata mimba kimiujizaUmeanza kung'onoka naye toka lini.. Unaweza kucheck hata mda/umri wa mimba japo DNA ni muhimu sana...ila hili suala la kutoa majibu yanayofanana nawaza kulikubali maana wanaogopa mtoto kukosa mlezi/malezi/huduma so humanely
Ahsantee sana Ndugu... Ngoja niwe mpole, i know miez tisa sio Mingi. Nashukuru kwa ushauri huu.Pole sana. Ni changamoto sana.
Maadamu keshasema ni mimba yako, mpe support yote anayohitaji mpaka ajifungue. Akishajifungua then utaamua. Kama kwa mfano mtoto anafanana sana na wewe (unaweza hata usihitaji DNA). Kama hafanani na wewe na hutaki kuwa social father wala kuishi kwa mashaka then utapima DNA.
Kwa sasa anaweza kupima umri wa mimba na roughly ukakokotoa tarehe au mwezi ambao mimba iliingia na kulinganisha na uhalisia wa mahusioano yenu. Kwa mfano, kama mimba ina umri wa miezi mitatu na wewe umekuwa na mahusiano nae kwa miezi miwili, hiyo itakuwa sababu tosha ya kutia mashaka. Lakini kama nilivyosema awali usimuache kwa indicator hiyo pekee.....subiri mtoto azaliwe!
Kaka ulikutana na chizi fresh[emoji1787]......alaf muwe mnatumia condoms jaman sio kila kona mnapiga kavu kavuNjia nzima alikuwa ana lala mika nika mwambia tupate supu na chapat kwenye restaurant akasema hapana mimba ina sumbua ikiwa imeingia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikamtia 15 mi nikasepa uzurii alipoteza simu siku nimekuja kukutananae alikuwa yuko poa tu na ilikuwa na zaidi ya miezi 4.
Sent using mt4 app
[emoji1][emoji1][emoji1] jaman wewe sio unataka kutuvunja mbavu tu hapaKuna mmoja hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tulikutana mahusiano yalikuwa mafupi sana.
Sasa kuna siku akanitunuku tunda yani tume vurugana kama bao 3 hivi, baada ya kumalizaa naona mtu kanuna yani haongeiii anadai anasikia kichefu chefu. Nikamwambia shida ni nini? Alicho nijibuu ndo nili choka.
Akadaii mimba imeingiaa tayarii ndo maana anajisikia vibaya kila dakika, nikamuuliza umejua wakati ndo kwanza ni leo.
[emoji23][emoji23][emoji23] akasema yeye nimtaalamu anajua kuanzia day one.. Nikamuuliza so hapa mimba imezama akasea ndiooo nijiandaee kuwa baba. [emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hiyoo nilibaki mdomo wazii
Sent using mt4 app
Unaweza nitajia vituo binafsi vinavyotoa hiyo huduma kiongozi, nina kesi mbili natakiwa nizitatue kabla mwaka haujaisha.Hapana ni maneno ya watu tu.
Basi nenda kituo binafsi.
Uko sawa, hii ilishamtokea mtu.Wasichana wengi wapo hivi anaweza kua na mahusiano na wanaume wengi kwa wakat mmoja akija kubeba mimba anakua Hana uhakika mimba ni ya nani Kati ya hao wapenzi wake hii nimeiona Sana so anatafuta mtu mwenye uelekeo kidogo anambambikia kwahiyo kupma DNA ni muhimu coz anaonekana hana uhakika mimba ni ya nani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata kama biology ninge kula F kwa akili ya kawaida unajua kabisaa huyuu ni muogoo wa 5GDuh hawa mademu wa kibongo ni nyoko sana, sasa mkuu ulikubali iyo mimba au
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Laki moja yako tu,Ila kwa kuwa watachukua sample mbili na ya mtoto ni laki mbili tuAhsantee kwa ushauri mkuu.. Hv gharama za kupima DNA zikoje kama unafahamu??
Hapana ni maneno ya watu tu.
Basi nenda kituo binafsi.
Nakushauri ukitaka kuanzisha mahusiano na mwanamke jaribuni kupima kwanza,magonjwa ya zinaa na mimba siyo mnakutana tu kama mbwaAccording to yeye anasema ujauzito una week saba but me nlisha-suspect tangu kitambo and nkamwambie bas tukapime kama ana ujauzito akawa "Hataki"... Just imagine mtu hataki kujua hali yake ya Afya?!?? Especially swala la ujauzito?
Tambua mimba inaingia kwa siku moja pale tu mnapomaliza kujamiana kama mwanamke alikuwa kwenye siku zake za hatari na ww Kama una uwezo wa kupachika mimba,kuna wanawake wako vzr sana kuhesabu cku zao,cha muhimu jaribuni kupima kabla hamjaanza kunyanduana,kuna ukimwi na mimba pamoja na magonjwa mengineKuna mmoja hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tulikutana mahusiano yalikuwa mafupi sana.
Sasa kuna siku akanitunuku tunda yani tume vurugana kama bao 3 hivi, baada ya kumalizaa naona mtu kanuna yani haongeiii anadai anasikia kichefu chefu. Nikamwambia shida ni nini? Alicho nijibuu ndo nili choka.
Akadaii mimba imeingiaa tayarii ndo maana anajisikia vibaya kila dakika, nikamuuliza umejua wakati ndo kwanza ni leo.
[emoji23][emoji23][emoji23] akasema yeye nimtaalamu anajua kuanzia day one.. Nikamuuliza so hapa mimba imezama akasea ndiooo nijiandaee kuwa baba. [emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hiyoo nilibaki mdomo wazii
Sent using mt4 app
Imagine hadi dingi alikuwa akiniangalia anaungana na wanakijiji kwamba itakuwa kweli tu [emoji23][emoji23][emoji23]Daah? hii ndo ngumu zaidi sasa..
Ila mwisho wa siku ukweli si ulijulikana mkuu??Imagine hadi dingi alikuwa akiniangalia anaungana na wanakijiji kwamba itakuwa kweli tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app