Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Mimi ilikuwa hivi,

Ilikuwa kama ajali tu. Mimi nilikuwa nasali nae kanisani mume wake engineer kuwepo nyumbani ngumu mtu wa kusafiri safiri kwa hiyo ili mke asiwe mpweke nilikuwa kama namsaidia maana mimi sio mchoyo akija anaendeleza [emoji1787][emoji1787] akitoka namfanya mke wake asitoke kwa wengine ila Mimi tu.

Baadaye nilipata mchongo mkoa ikabidi nihame mawasiliano yakaanza kupungua siku hadi siku si unajua tena fimbo ya mbali haiui nyoka [emoji1787][emoji1787].
Aisee kumbe ndio wewe eeh, pita kaliakoo hpa kuna jambo tujadili
 
Hakuna wanawake ninaowachukia kama hao walioolewa halafu wanagawa, ni zaidi ya mbwa

Nimeishawakataa 4 na sina mda nao kabisa wanasema what goes around comes around

Siwezi kuwa msaliti hata siku moja
Vijana ogopeni sana dhambi na kama hamuamini Mungu, basi msiwape ushirikiano wake za watu hawafai
Kama wanasaliti ndoa zao huoni na wewe utakuja kuchapiwa pia?
Je utajisikiaje?
 
Kuna mmoja nnpo nae huu kijiji najilia tu mumewe yupo Dar huko

Halina mbamba yaan jeupeee kama papai nalipelekea moto mpaka linakuwa jekundu maaanina
Mmewe kuja huku Kwa mwaka mara moja anakaa week 1 au siku 3 then ananichia kitumbua changu niendelee kujibandulia gogo

Mkienda mjin kutafta maisha nenden na wake zenu mnatuweka katika vishawishi huku
 
Hahahaaaa endelea kuchakata mbususu hiyo kaka.
 
Mimi ilikuwa hivi,

Ilikuwa kama ajali tu. Mimi nilikuwa nasali nae kanisani mume wake engineer kuwepo nyumbani ngumu mtu wa kusafiri safiri kwa hiyo ili mke asiwe mpweke nilikuwa kama namsaidia maana mimi sio mchoyo akija anaendeleza [emoji1787][emoji1787] akitoka namfanya mke wake asitoke kwa wengine ila Mimi tu.

Baadaye nilipata mchongo mkoa ikabidi nihame mawasiliano yakaanza kupungua siku hadi siku si unajua tena fimbo ya mbali haiui nyoka [emoji1787][emoji1787].
Kama mimi tu!.. ila me mpaka leo nawasha moto me mwenyewe na sina mpango wa kumwacha!.. mke wa mtu raha nyie dadeq [emoji119][emoji119]
 
Sijui nianze kusimulia yupi wapo zaidbya wanne
Wakwanza tulipatana mtandaon kimasihara sana yani tumefahamiana leo kesho katia miguu nikachakata akanogewa ikapita miezi mingi tunachati tu akaja tena nikachapa zaidi ndo kanogewa mno kidgo anipe jicho kwa utalam wangu. Mumewe napeda muita dady

Mwingine nae nikamnasa huyu ye alikuwa na shida ktk ndoa yake akawa anadai hajawahi ona raha ya kulana mpka alipokutana na mimi nikamfunguwa bomba ananipenda adi kapagawa

Mwingine ni demu wangu anaolew soon nae atakuwa mke wa mtu ila kasema atazid kuprovide huduma non stop wacha asitiriwe, wanawake wanapenda ndoa sana kuvaa shela ni kila ndoto ya mwanamke ila kuishi ndoa ni wachache sana
 
Zichakate kaka
 
Back
Top Bottom