Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

πŸ”¨
 
Mwaka jana niliwahi kutongozwa na mke wa mtu,mume wake ni mwanasheria na lecture wa chuo flani town.

Aliipata namba yangu akaanz kunitext hakuzunguka kabisa akanambia moja kwa moja kuwa anavutiwa na mimi.

Sababu,anasema mume wake hamridhishi sasa sjhi alijuaje kama mimi ntamridhisha,akaandaa hadi mahali pa kukutana ili nimle mbususu,ila siku tuliyopanga sikutokea.

Nilifanya makusudi cos ni ahadi niliyojiwekea kuwa sitakuja kula mke wa mtu ilihali najua fika kuwa ni mke wa mtu.

Mpaka leo akiniona huwa anaona aibu ila huwa hajawahi kunambia chochote nahisi ananiogopa.

N.B MWANAUME WA KWELI HACHAPI MKE WA MTU.
 
Wewe una akili sana.!
 
Acha kutetea ujinga, hakuna justification yoyote inayohalalisha mtu utoke nje ya ndoa..eti atunzwi,sijui arizishwi,ooh kulipa kisasi ..big no!!!

Mwanamke akiamua toka nje ya ndoa ni maamuzi yake na mapendo yake sio Kwa sabb flani..yupo tu hvo ni malaya period.
 
SSio
Mwanamke hampi mwingine kama hakuna sababu ukiona kampa mwingine basi ujue kuna sababu imetokana na

SSio
Mwanamke hampi mwingine kama hakuna sababu ukiona kampa mwingine basi ujue kuna sababu imetokana na mwanaume
Sio kweli mwanamke kama ni Malaya ni malaya tu,hakuna sabb inayotoka nje ni ndani yake..ww kama umeoa malaya atachakatwa tuu no way out!!!
 
JAMAA YANGU ALINUSURIKA KIFILO


Ngoja nielezee kisa kimoja kilichomkutaa Jamaa Yangu wa Karibu maeneo ya Dodoma Pestana Pub mwkaa 2019 kama sikosei

Tulikuwa tuna kawaida ya kukesha siku ya Jumamosi kuamkia Jumapili, yani tungi mpka morning kwasababu jumapili tulikuwa off.

Sasa Jamaa yangu yeye alikuwa na tabia mbaya ya kujibebea mwanamke yyte pale pub na kwenda kumchakata kwao( yani anaenda kwenye nyumba ya demu badala ya lodge)

Nilimshauri lakini hakusikiaa.
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”
Siku ya siku akakutana na manzi hivi umri kama 32-35 kimuonekano hivi zikaivana na demu akamwambia kuwa amegombana na mume wake na wameachana mume kahamia kwa nyumba ndogo hivyo anatafuta β€œA shoulder to cry on” lakini tunajua hii hubadilika kuwa β€œA dick to ride on”

Jamaa yangu hata hakuniaga, wakabebana na mapombe hao kwa manzi.

Kumbe banaa kuna mtu anamfahamu mume wa yule dada na akamsanua,

KILICHOTOKEA.

Mume wa yule manzi katimba na kikosi cha mtu 4 saa 11 alfajiri fulu mafuta fulu condom fulu KY kuja kumpa Jamaa yangu Kifilo kitakatifu[emoji23][emoji23][emoji23]

Yule mseng. ana bahati hakuwa amelewa sana na katika purukshani za zile mbavu kutaka kubomoa mlango wa nyumba ili waiingie wagawe kifilo(Jamaa na manzi waligoma kufungua kwa uoga), Akajitokeza jirani nyumba ya 2 ni mwanajeshi alitoka na bunduki akijua labda ni Panya road wamemvamia jirani.

Badae kuja kujua msala akawatuliza na majirani wakajaa jaa Jamaa yangu akafungua mlango akapigwa makofi ya hapa na pale akabebwa polisi kutoa faini.



LEO HII ANABAKI KUSIMULIA KISA HIKI MAISHA YAKE YOTE[emoji23][emoji23][emoji23]


ENDELEENI KULA WAKE ZA WATU.
 

Kuanzia hapo kwenye mjeshi kutoka na Bastola kama kuna editing ya story!?
 
Ulishawahi: Ndio mara mbili

Mlianzaje: Ya kwanza Kimasihara, Wa pili alitupanga wawili ila mwenzangu akaoa ila akawa bado ananiletea.

Ilikuwaje:

Ya kwanza:

Work-mate,ilianzia siku ya Birthday yake nilimuahidi zawaid ya kumpa hug,kulana ilianza siku niliposahau kitu cha ofisini nyumbani nikataka chukua boda nirudi home, ila yeye akasema ngoja niku rush.

Tulipoona tunaenda deep,tuliamua kusitisha kuchakatana na yule dada, siku tunaagana kwa msgs yule mdada alisahau kufuta texts afu zilikua full kuliliana. At last mume alikuja kuta hizo msgs.

Ya pili:
Mnaelewa kuoa mke sio wako kimahesabu, kifupi jamaa kaoa demu wangu ingawa yeye ndio alianza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…