sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Naaam naaamOkay so kuwa single ina maanishq hakuna ustaarabu ni kujiachia tu? Sawa sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naaam naaamOkay so kuwa single ina maanishq hakuna ustaarabu ni kujiachia tu? Sawa sawa.
hii hakika ni sumu mbaya. hapo huwaambii kitu wakakuelewa watakuona mchawi. Wao wanajua wataoana hata dunia iumbwe upya 😂Sumu nyingine hii hapa
View attachment 2613844
😊Peleka ushamba wako huko
Wewe ndo mshambaPeleka ushamba wako huko
🔨Hakuna wanawake ninaowachukia kama hao walioolewa halafu wanagawa, ni zaidi ya mbwa
Nimeishawakataa 4 na sina mda nao kabisa wanasema what goes around comes around
Siwezi kuwa msaliti hata siku moja
Vijana ogopeni sana dhambi na kama hamuamini Mungu, basi msiwape ushirikiano wake za watu hawafai
Kama wanasaliti ndoa zao huoni na wewe utakuja kuchapiwa pia?
Je utajisikiaje?
Wewe una akili sana.!Mwaka jana niliwahi kutongozwa na mke wa mtu,mume wake ni mwanasheria na lecture wa chuo flani town.
Aliipata namba yangu akaanz kunitext hakuzunguka kabisa akanambia moja kwa moja kuwa anavutiwa na mimi.
Sababu,anasema mume wake hamridhishi sasa sjhi alijuaje kama mimi ntamridhisha,akaandaa hadi mahali pa kukutana ili nimle mbususu,ila siku tuliyopanga sikutokea.
Nilifanya makusudi cos ni ahadi niliyojiwekea kuwa sitakuja kula mke wa mtu ilihali najua fika kuwa ni mke wa mtu.
Mpaka leo akiniona huwa anaona aibu ila huwa hajawahi kunambia chochote nahisi ananiogopa.
N.B MWANAUME WA KWELI HACHAPI MKE WA MTU.
Acha kutetea ujinga, hakuna justification yoyote inayohalalisha mtu utoke nje ya ndoa..eti atunzwi,sijui arizishwi,ooh kulipa kisasi ..big no!!!Wakati fulani sisi wanaume ndio chanzo cha wake zetu kuchepuka.
Mwanaume unaondoka nyumbani kwenda kulala kwa mchepuko. Unamwacha mkeo na watoto nyumbani. Hujui wamekula au la. Huachi mahitaji wala hela ya mahitaji.
Mkeo kawa kama siyo mke wa mtu. Anajipigania yeye na watoto. Unategemea nini?
Akikwama lazima atafute mbinu mbadala. Na silaha pekee aliyonayo mwanamke ni kidudu chake. Lazima ataangukia mikononi mwa mbaharia ili wamsaidie kutatua shida zake.
Nimeyaona mengi na mengine nimehusika. Mwanamke umemsaidia, anaamua kujikabidhi kama shukrani na hata kuhitaji msaada zaidi.
Lakini ukumbuke kuwa na yeye ni binadamu. Unachokifuata huko kwa mchepuko na yeye anacho na kinahitaji kuhudumiwa. Nani amhudumie ikiwa wewe umemtelekeza? Ndiyo maana wengine husema WANANDOA WENGI HUPATA RAHA YA NDOA NJE YA NDOA. Huenda sababu ni
1. Wanaume kutotenga muda wa kutosha kuhudumia ndoa zao. Wako busy na majukumu.
2. Baadhi yetu tukishapewa utamu na mchepuko, nyumbani tunalipua kazi. Mama hashibi, anaamua atafute pa kumalizia hamu.
3. Kitendo cha mwanaume kulala nje ya nyumba yako tena mtaa wa pili tu, husababisha mke kuchukia na kuona kama amedharauliwa. Kifuatacho atatafuta kulipiza.
Ushauri wangu, wanaume tujenge tabia ya kuzungumza na wake zetu kuhusu mapungufu ya chumbani na kutafuta namna ya kuyapunguza ili kuwafanya wake zetu kufurahia ndoa zao. Itasaidia sana kukwepa vishawishi.
Pia tuhudumia familia zetu kikamilifu na kwa upendo. Mama ajue kama analala njaa ni kwa vile mumewe hana kitu kabisa.
Nina mengi, muda hautoshi.
Mwanamke hampi mwingine kama hakuna sababu ukiona kampa mwingine basi ujue kuna sababu imetokana na
Sio kweli mwanamke kama ni Malaya ni malaya tu,hakuna sabb inayotoka nje ni ndani yake..ww kama umeoa malaya atachakatwa tuu no way out!!!Mwanamke hampi mwingine kama hakuna sababu ukiona kampa mwingine basi ujue kuna sababu imetokana na mwanaume
Kuna member yumo huku Ni mkee wa mtu naogopa kueleza jins tulivyo anza mausiano
Aah waliosingle hatujui kukataa [emoji3] wake za watu ndiyo inabidi wawe wachoyo bana
JAMAA YANGU ALINUSURIKA KIFILO
Ngoja nielezee kisa kimoja kilichomkutaa Jamaa Yangu wa Karibu maeneo ya Dodoma Pestana Pub mwkaa 2019 kama sikosei
Tulikuwa tuna kawaida ya kukesha siku ya Jumamosi kuamkia Jumapili, yani tungi mpka morning kwasababu jumapili tulikuwa off.
Sasa Jamaa yangu yeye alikuwa na tabia mbaya ya kujibebea mwanamke yyte pale pub na kwenda kumchakata kwao( yani anaenda kwenye nyumba ya demu badala ya lodge)
Nilimshauri lakini hakusikiaa.
————————————————————
Siku ya siku akakutana na manzi hivi umri kama 32-35 kimuonekano hivi zikaivana na demu akamwambia kuwa amegombana na mume wake na wameachana mume kahamia kwa nyumba ndogo hivyo anatafuta “A shoulder to cry on” lakini tunajua hii hubadilika kuwa “A dick to ride on”
Jamaa yangu hata hakuniaga, wakabebana na mapombe hao kwa manzi.
Kumbe banaa kuna mtu anamfahamu mume wa yule dada na akamsanua,
KILICHOTOKEA.
Mume wa yule manzi katimba na kikosi cha mtu 4 saa 11 alfajiri fulu mafuta fulu condom fulu KY kuja kumpa Jamaa yangu Kifilo kitakatifu[emoji23][emoji23][emoji23]
Yule mseng. ana bahati hakuwa amelewa sana na katika purukshani za zile mbavu kutaka kubomoa mlango wa nyumba ili waiingie wagawe kifilo(Jamaa na manzi waligoma kufungua kwa uoga), Akajitokeza jirani nyumba ya 2 ni mwanajeshi alitoka na bunduki akijua labda ni Panya road wamemvamia jirani.
Badae kuja kujua msala akawatuliza na majirani wakajaa jaa Jamaa yangu akafungua mlango akapigwa makofi ya hapa na pale akabebwa polisi kutoa faini.
LEO HII ANABAKI KUSIMULIA KISA HIKI MAISHA YAKE YOTE[emoji23][emoji23][emoji23]
ENDELEENI KULA WAKE ZA WATU.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katufunga kamba tuKuanzia hapo kwenye mjeshi kutoka na Bastola kama kuna editing ya story!?
Sema mimi bro,mnatujua wanaume hatuwezi kutulia na mbususu moja.
Miaka 20 unakula mbususu moja haikukinai kweli? Hao waongo mkuuSema mimi bro,
Wapo wanaume wapo kwennye ndoa hata 20 years wengi tuu hawajawahi kucheat.
IlikuwajeAt last mume alikuja kuta hizo msgs.
IlikuwajeAt last mume alikuja kuta hizo msgs.
Ndo hivyo , watu wanatambua thamani ya ndoa yao sio wewe.Miaka 20 unakula mbususu moja haikukinai kweli? Hao waongo mkuu