Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Labda ni demu wa mtu
 
Jana ilishindikana mkuu, alikuwa kalala ile nimeshika futi nimpime akashtuka ikabidi nijifanye naruka kamba. Nimeamua sitaki tena kuhatarisha ndoa yangu ili niwaridhishe.
Kwa mantiki hiyo inaonekana huna power juu ya mkeo pole mkuu.

Au labda tunatofautiana kimtazamo
 
Ila wanawake wapumbavu sana back in a days mwaka 2022 nilipanga mahala fulani kuna manzi ilikuwa inakuja mageton nakuondoka inakaa hata siku tatu.

Ikazoena mpaka na mama wakirangi mke wa mtu sas ishu ambayo nilikuja kugundua baadae sna na nkaja nkasepa hadi mtaa na hyo nyumba kumbe yule manzi wng kuna mda walikua wanapga story zakunyanduana si akawa anampa yule mama wakirangi jins navyomkunja yeye.

Kwann yule mama badae asitake nayeye kujaribu alifosi sna ilikua kdg nile ila nilibadili gia siku alivyoanza kunambia jinsi walivyokua wanapga story na uyo dem wng namna navyompa show nayeye et anataka nimpe kama navyompa manzi angu aisee nilipgwa baridi.

Kosa lingne yule mama wakirangi alimleta binti yake pale tunapokaa nkapita na bint yake mama mpk akajua nilichukiwa vby mpk nkaona itakua hatari nlipga chini yule manzi angu na nkasepa zngu kbsa pale ila nikikumbka yule mama alikuwa mweupeeeee ananyama yan lile paja hata doa halina ila sijui kwann mungu alinipa ujasiri nkauvuka ule mtihan kias mpk kesho nikikumbka lile paja najiona km sio mm nlokataa.
 
Hahaha nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…