Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Na siku wakwko akianza kuchakatwa usiache kuleta mrejesho
 
Mimi huyo mwanamke nilikutana naye barabarani nikamshobokea nikaamua kumpiga sounds akakubali.Tukabadilishana number.

Mume wake alikuwa anafanya kazi mjini kwa hiyo siku Moja mwanamke alinialika kwake nikaenda nikala mzigo Kisha Usiku huo huo nikarudi kwangu.

Niliamua kuachana naye tu.
 
Ukifikiria maumivu atayopata mwanaume mwenzio kwa kutembea na mke wake, kama una akili timamu hauwezi kuthubutu kabisa kutembea na mke wa mwenzio, yale maumivu ni makali sana matokeo yake unaharibu familia nzima ya mwenzako mke ataachika watoto watateseka, sio sahihi kabisa kutembea na mke wa mtu haikufanyi uonekane mwanaume rijali zaidi ya kuonekana ni mwehu
 
Mimi siku nikigundua mke wangu anacheat namuacha wife then jamaa namfungia kazi akibaki hai basi atakuwa kilema maisha yake yote
Mke anauma aisee me kicheche ila nishajiwekea sheria sijawah na sitowah kula mke wa mtu
Wa kudili nae ni mkeo anaegawa utamu nje na anajijua ni mke wa mtu. Utadhuru wangapi? Wee malizana na mkeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
L
Sahihi
 
Sijawahi kutongoza mwanamke yeyote ninaemjua bwana wake, pia sijawahi kumtongoza mwanamke ninaetambua kabisa ni mke wa mtu.

Wanawake wasimbe wapo wengi sana, lakini kwanini ufanye mapenzi na mtu unaetambua kabisa ni mke wa mtu na kila mara anatoka kwa mwanamme kama wewe kipindi anakuja kwako?

Inafikirisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…