Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Hilo linawashinda pia
Tatizo madem wengi hufikiri wanaume ni ATM kitu ambacho vijana wengi hawana huo uwezo hivyo kulazimika kuchukua njia mbadala ya madada poa ambao akiwa na 10k wanamalizana na hakuna kudaiwa kitu kingine..
 
Hao madem wengi wanaokuomba pesa unakutana nao wapi wakati unae wa kwako mmoja? Na nyie mna matatizo pia. Tulieni
 
Tena wake za watu ni waelewa sana na wepesi mno

Nishapiga sana kwa shughuli zangu hizi.

Mi nina msemo wangu MWANAMKE MZURI NI ALIYENIPA TU kama hajanipa siwezi kusema hivyo Ko binti, single mother na muke ya mutu jitahidi uwe mzuri kwangu nafasi bado ipo ni wewe tu!

Kwa mke wa mtu huwa nina mambo mawili nikienda kuchakata lazima 1mil. na [emoji379] niwe navyo sijawahi acha hivyo vitu nikiwa na mali ya wenyewe

Ukinifumania uje vizuri kama ni maelewano haya chukua hiyo [emoji385]
Kama uko kishari tayari [emoji379] nishaikoki ni wewe uamue unataka kipi kati ya hivyo viwili.

Lakini kunambia nijizuie kwa mke wa mtu NO! Takosa vitamu kwa kuhoji hoji mi nimekuelewa wewe tu uliye nae hanihusu kabisa ko nipe na mimi kwa nafasi yangu basi!
Na mwaume anaekula anashiba vilivyo kukwepa wanawake ni ngumu ya nini niishie kula kwa macho?
 
Ila ni ufahari kutembea na mke wa mtu wakati unajua ni mke wa mtu na ulikanywa kua uyo mke wa mtu na mwenye mke.
All the best
Shida siyo yangu shida ni huyo mke wako kama kweli anajijua mke wa mtu kwa nn akubali mpka anaenda kuvua chupi anapachikwa mboo mpk hapo anakuwa hayambui kama ni mke wa mtu?
Ukiona mpk mke wa mtu anapigwa nje ujur kuna kitu kakimisi ndani kwa hyo ww kama mme jitatakari kaa chini na mkeo muulize kp anakosa hapo ndo utapata muafaka na siyo kukimbilia kukatisha uhai wa mtu. Ni ujinga sana kuua kisa umemfumania jamaa anamla mke wko, dili na mke wako period maana yeye siyo mtt mdogo hajafosiwa kuvua chupi.
 
Kuzungumzia ulimlaje mke wa mtu sio ufahari. Ni kuidharirisha taasisi ya ndoa ambayo ndio msingi wa jamii tuliyopo.

Swali la hivi ni kuonyesha namna gani uzinifu unavyohalalishwa wakati ni chukizo kwa Allah... kwa imani zetu mke wa mtu mwingine si wa kumkaribia ukitaka kuishi maisha ya kumkaribia Muumba wako.

Wanawake na wanaume wote wanatafsiri mbili tofauti za kutoka nje ya ndoa. Mwanaume anatafuta kutimiza tamaa mwanamke anatafuta faraja. Kwa nini tusiwe sehemu ya kuisaidia jamii kutoka hapo na tuwe watu wa kushabikia uzinzi?
Mfano wewe unaesoma piga picha kichwani mwako wazazi wako wapo katika ndoa then unamshuhudia mama yako (au kinyume chake) anatoka kingono na mwanaume mwingine asie baba yako utajisikiaje? Haya ndio mambo yanayofanya kwa sasa tunakizazi kisicho thamani ndoa... kimeibuka kuipinga wakati tatizo tunalitengeneza wenyewe.
 
Binafsi sina mpango wa kumla mke wa mtu labda nisijue tu

Kuna mmoja niliwah kumla bila kjjua kuwa kaolewa mana alinambya anaishi na wazazi hajaolewa sasa siku namla kuna namba ilipiga kwenye simu yake aliisave "my husband" .
Sasa baada ya kumkazia anambie ukweli akafunguka kuwa ni mke wa mtu

Sema nikaendeleza mechi afu baada ya kuondoka nikafuta namba na nikamkaushia jumla adi leo zmebaki salamu tukikutana njiani
So kuna muda tatizo linakuwa kwa wake zao wenyew
 
Moja ya vitu unajiweka kwenye hatari ya kuondolewa maisha yako ni kutembea na Mke WA MTU. Kifo nje nje!

Nimewahi kushuhudia MTU anauawa Kwa kutembea na Mke WA MTU.

Tembea na Mke WA MTU Ila tambua unatembea na kifo

Kuna watu kuua sio issue tembea uone. Yani ukitembea na Mke wake ni either akuue wewe mwanaume. Au awaue nyie wote au nyote watatu mfe.

Ogopa Sana mahusiano Yana hisia Kali mno
Kabisa Mkuu, mke anauma mnoo

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: 511
Kuzungumzia ulimlaje mke wa mtu sio ufahari. Ni kuidharirisha taasisi ya ndoa ambayo ndio msingi wa jamii tuliyopo.

Swali la hivi ni kuonyesha namna gani uzinifu unavyohalalishwa wakati ni chukizo kwa Allah... kwa imani zetu mke wa mtu mwingine si wa kumkaribia ukitaka kuishi maisha ya kumkaribia Muumba wako.

Wanawake na wanaume wote wanatafsiri mbili tofauti za kutoka nje ya ndoa. Mwanaume anatafuta kutimiza tamaa mwanamke anatafuta faraja. Kwa nini tusiwe sehemu ya kuisaidia jamii kutoka hapo na tuwe watu wa kushabikia uzinzi?
Mfano wewe unaesoma piga picha kichwani mwako wazazi wako wapo katika ndoa then unamshuhudia mama yako (au kinyume chake) anatoka kingono na mwanaume mwingine asie baba yako utajisikiaje? Haya ndio mambo yanayofanya kwa sasa tunakizazi kisicho thamani ndoa... kimeibuka kuipinga wakati tatizo tunalitengeneza wenyewe.
Peleka ushamba wako huko
 
Ukifikiria maumivu atayopata mwanaume mwenzio kwa kutembea na mke wake, kama una akili timamu hauwezi kuthubutu kabisa kutembea na mke wa mwenzio, yale maumivu ni makali sana matokeo yake unaharibu familia nzima ya mwenzako mke ataachika watoto watateseka, sio sahihi kabisa kutembea na mke wa mtu haikufanyi uonekane mwanaume rijali zaidi ya kuonekana ni mwehu
sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom