Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Ndoa ina thamani gani mkuu?Ndo hivyo , watu wanatambua thamani ya ndoa yao sio wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoa ina thamani gani mkuu?Ndo hivyo , watu wanatambua thamani ya ndoa yao sio wewe.
Ilikuwaje
Ilikuwaje
Ni vizuri kabla hujaoa au hujaolewa jua ex wa mwenzio na kwa nini wameachana.Mwanamke kutoachana ex kwa ubaya bali mazingira au namna iliyokuwa nje ya uwezo wake. Hapa sasa ndio wengi hutafunwa haswa wale wanaosafiri kwenda maeneo maEx wanapoishi...
Unasali kanisa gani?Ndoa ina thamani gani mkuu?
Yani taraka,red card
Huko tusifike mkuu. Tueleze tu thamani ya ndoaUnasali kanisa gani?
Mnawasiliana na kukutana nae,ilinisuta sana kwa nafsi hii rafu hadi leo.
Wivu wa mapenzi ndo mapenzi yenyewe hayo mkuuwivu wa mapenzi
Mke wa mtu mgongee kwako, sio hotelini au gesti au kwake; ukifumaniwa na mke wa mtu ktk hayo maeneo utaliwa kiboga na kufanyiwa kitu cha aibu...Mimi ilikuwa hivi,
Ilikuwa kama ajali tu. Mimi nilikuwa nasali nae kanisani mume wake engineer kuwepo nyumbani ngumu mtu wa kusafiri safiri kwa hiyo ili mke asiwe mpweke nilikuwa kama namsaidia maana mimi sio mchoyo akija anaendeleza 🤣🤣 akitoka namfanya mke wake asitoke kwa wengine ila Mimi tu.
Baadaye nilipata mchongo mkoa ikabidi nihame mawasiliano yakaanza kupungua siku hadi siku si unajua tena fimbo ya mbali haiui nyoka 🤣🤣.
Vipi Yule anayechepuka mpaka kubeba mimba ya mchepuka ,Hakuna mwanamke anachepuka bila sababu
Yani taraka,
Ndoa ya Muslim au kikristo.
Mnawasiliana na kukutana nae,
Na unajisikiaje mkuu.
Umeongea ktu sahihi sana ndugu mungu akubariki sn ww n familia ykoUkifikiria maumivu atayopata mwanaume mwenzio kwa kutembea na mke wake, kama una akili timamu hauwezi kuthubutu kabisa kutembea na mke wa mwenzio, yale maumivu ni makali sana matokeo yake unaharibu familia nzima ya mwenzako mke ataachika watoto watateseka, sio sahihi kabisa kutembea na mke wa mtu haikufanyi uonekane mwanaume rijali zaidi ya kuonekana ni mwehu
Mimi siku nikigundua mke wangu anacheat namuacha wife then jamaa namfungia kazi akibaki hai basi atakuwa kilema maisha yake yote
Mke anauma aisee me kicheche ila nishajiwekea sheria sijawah na sitowah kula mke wa mtu
Nimefanya uhuni mwingi sana, ila MKE WA MTU is my limit aisee. The risk is not worth at all. Kuna pisi kibao fresh za 2000s huku kali kinouma, why ni risk maisha yangu na mali ya mtu alietolea mahari kabisa. Yaani jaribuni kujiweka kwenye kiatu cha mwenye mali, yaani akatoe mahari, akae vikao miezi 3 akusanye pesa ya harusi aoe then wewe firauni haujapitia process zozote alafu akutane na sms kuwa umetoka kumf**a mke wake. Ujue hata kama hauna asili ya kuuwa lazima itatokea tu. Mimi unless mwanamke atumie sijui uongo gani ila nikishajua ni mke wa mtu hata kama mumewe yuko sayari ya PLUTO si mgusi. Women are very careless in cheating, wanapenda kubakisha kumbukumbu and once they become emotional ni basi umekwisha.
Nataka kuanzisha kampeni
KATAA MKE WA MTU!!!!!!
So hajaolewa mpka now??After there tuliendelea kuwasiliana, kuendelea kufarijiana,…akaja akapata mchumba mwingine….. bahati mbaya alifariki kabla ya hiyo ndoa mpya nilipenda nione anaolewa ila ndio hivyo mungu kamchukua.
Hila mpaka sasa hajajutia kweli kweli kabisa?After there tuliendelea kuwasiliana, kuendelea kufarijiana,…akaja akapata mchumba mwingine….. bahati mbaya alifariki kabla ya hiyo ndoa mpya nilipenda nione anaolewa ila ndio hivyo mungu kamchukua.
Hakika.Mimi kiukweli nina kinyaa kikali sana siwezi gonga mke wa mtu naona ni uchafu tu
Ni hivi ni kutia kirema huyo mshenzi kwa gharama yoyoteWa kudili nae ni mkeo anaegawa utamu nje na anajijua ni mke wa mtu. Utadhuru wangapi? Wee malizana na mkeo.
Sent using Jamii Forums mobile app