Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Mwanamke kutoachana ex kwa ubaya bali mazingira au namna iliyokuwa nje ya uwezo wake. Hapa sasa ndio wengi hutafunwa haswa wale wanaosafiri kwenda maeneo maEx wanapoishi...
Ni vizuri kabla hujaoa au hujaolewa jua ex wa mwenzio na kwa nini wameachana.
Ni muhimu
 
Mimi ilikuwa hivi,

Ilikuwa kama ajali tu. Mimi nilikuwa nasali nae kanisani mume wake engineer kuwepo nyumbani ngumu mtu wa kusafiri safiri kwa hiyo ili mke asiwe mpweke nilikuwa kama namsaidia maana mimi sio mchoyo akija anaendeleza 🤣🤣 akitoka namfanya mke wake asitoke kwa wengine ila Mimi tu.

Baadaye nilipata mchongo mkoa ikabidi nihame mawasiliano yakaanza kupungua siku hadi siku si unajua tena fimbo ya mbali haiui nyoka 🤣🤣.
Mke wa mtu mgongee kwako, sio hotelini au gesti au kwake; ukifumaniwa na mke wa mtu ktk hayo maeneo utaliwa kiboga na kufanyiwa kitu cha aibu...
Mchepuko usimgongee kwako..
 
Ukifikiria maumivu atayopata mwanaume mwenzio kwa kutembea na mke wake, kama una akili timamu hauwezi kuthubutu kabisa kutembea na mke wa mwenzio, yale maumivu ni makali sana matokeo yake unaharibu familia nzima ya mwenzako mke ataachika watoto watateseka, sio sahihi kabisa kutembea na mke wa mtu haikufanyi uonekane mwanaume rijali zaidi ya kuonekana ni mwehu
Umeongea ktu sahihi sana ndugu mungu akubariki sn ww n familia yko
 
Mimi siku nikigundua mke wangu anacheat namuacha wife then jamaa namfungia kazi akibaki hai basi atakuwa kilema maisha yake yote
Mke anauma aisee me kicheche ila nishajiwekea sheria sijawah na sitowah kula mke wa mtu

na wewe tunakuua Eti nisikie umeua Ndugu yangu
walahi hutomaliza wiki!
Kwa Risasi au Kwa Sumu kazima Nikuue!
Huwezi Kumuua Ndugu yangu kisa Eti Mke wako tena Mtu mzima mliekutana nae Ukubwani!
Labda Umuue Jamaa ambae ndigu zake ni Fala
 
Nimefanya uhuni mwingi sana, ila MKE WA MTU is my limit aisee. The risk is not worth at all. Kuna pisi kibao fresh za 2000s huku kali kinouma, why ni risk maisha yangu na mali ya mtu alietolea mahari kabisa. Yaani jaribuni kujiweka kwenye kiatu cha mwenye mali, yaani akatoe mahari, akae vikao miezi 3 akusanye pesa ya harusi aoe then wewe firauni haujapitia process zozote alafu akutane na sms kuwa umetoka kumf**a mke wake. Ujue hata kama hauna asili ya kuuwa lazima itatokea tu. Mimi unless mwanamke atumie sijui uongo gani ila nikishajua ni mke wa mtu hata kama mumewe yuko sayari ya PLUTO si mgusi. Women are very careless in cheating, wanapenda kubakisha kumbukumbu and once they become emotional ni basi umekwisha.

Nataka kuanzisha kampeni

KATAA MKE WA MTU!!!!!!

Sio Kweli
Women are not careless
Wewe utakuwa Msomi mjanja unaopenda mteremko…Yaani Kuwala wanawake wasiosoma.
Ambao sio intellectual
Ni Ngumu sanaaa Kumgundua Mwanamke tofauti na Mwanamme.
Wanawake ni wasiri sanaa aisee haswa wale wasomiGraduate!
 
After there tuliendelea kuwasiliana, kuendelea kufarijiana,…akaja akapata mchumba mwingine….. bahati mbaya alifariki kabla ya hiyo ndoa mpya nilipenda nione anaolewa ila ndio hivyo mungu kamchukua.
So hajaolewa mpka now??
Si anaona ni mkosi huwo.
Daaa
 
After there tuliendelea kuwasiliana, kuendelea kufarijiana,…akaja akapata mchumba mwingine….. bahati mbaya alifariki kabla ya hiyo ndoa mpya nilipenda nione anaolewa ila ndio hivyo mungu kamchukua.
Hila mpaka sasa hajajutia kweli kweli kabisa?
Si majuta anayo au vipi huko?
 
Back
Top Bottom