Siyo mke wa mtu,mimi hata ile kujua tu alishamegwa na flani halafu na mimi niunge tela!
Hiyo ngumu sana na sipendi.
Mimi hata mke wangu nilishamwambia kuwa akihisi kuna kitu hakipati kwangu ila kinapatikana mahala,yeye asinifiche. Aende kwa kuniaga hata usafiri wa kusafirisha mizigo yake nitampatia kuliko ku share mapenzi.
Hapo ni kiroho safi kabisa yaani.
Hili lilinifanya niwe na tabia ya kuwa na mwanamke mmoja tu hata enzi za ujana wangu,akizingua nakata mti,baada ya mwaka mmoja au zaidi ndo naziba nafasi.