Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hee kwani nimekuambia nataka kukugonga kisa ww ni mke wa mtu?K zote zilizotapakaa huzioni mpaka ukamgonge mke wa mtu,kuna wanawake kibao wenye sifa za kila aina wanatafuta kugongwa hata kwa one night stand.
Wewe sema kwa mke wa mtu unatafuta kitonga, mtelezo,ganda la ndizi.
Kwa hiyo kwenu kwenye familia yenu pamoja na baba yako mzazi wanaume wanagongwa au sio?au may be kwenye ukoo wenu wanaume wangongwa may be inawezekana ushawahi kugongwa maana asifiaye mvua ishamnyeshea.Hee kwani nimekuambia nataka kukugonga kisa ww ni mke wa mtu?
Ushawahi kujinusa damu yako ya hedhi?Kwa hiyo kwenu kwenye familia yenu pamoja na baba yako mzazi wanaume wanagongwa au sio?au may be kwenye ukoo wenu wanaume wangongwa may be inawezekana ushawahi kugongwa maana asifiaye mvua ishamnyeshea.
Nimeiapia nafsi yangu sitaingiia kwenye vita.Yaani wewe ndio uko sahihi kwa 100% Hawa wengine wanaweka mihemko mbele hali ya kwamba wekamilika kweli.
Wake zetu tulio wengi hatuwatimizii nahitaji Yao. Mfano kuwa maliza miwasho, hela na mda wa kukaa nao
Hebu oa kwanza, na uhakikishe umemzalisha huyo mkeo ndipo urudi kutoa comment zako hapa!Nimeiapia nafsi yangu sitaingiia kwenye vita.
Nikifumania mke wangu(kama nitaoa sijui),
Nitamwacha sina haja ya mapambano...nitajuuliza nakosea wapi ama sina nini...!nikose vyote sio afya,pesa na nguvu za kiume.
Nishamjua msaliti naenda bar kujipongeza,hakuna majuto kila kitu kinatokea kwa sababu,can't complain.
Kwani ndoa ni nini si utumwa?Hebu oa kwanza, na uhakikishe umemzalisha huyo mkeo ndipo urudi kutoa comment zako hapa!
Namimi niko single afu sipendi kabisa wake za watuHivi wadada wote hawa tulio single mnaona mtuache mkatembee na wake wa wenzenu kweli? Unamuona mzuri sababu mwenzio anahudumia tafuta wako naye umtengeneze.
Mkimaliza mje mtuambie na jinsi mlivofumaniwa na mlichofanyiwa[emoji848]
Watoto usiowalea; mpenzi usiye na malengo naye, mwanamke unayemhonga hao wote sio mke! Mke ni yule uliyemlipia mahari, ukatambulishwa kwao naye kwenu, mkawekwa wakfu kwa imani ya dini yako; mkazaa watoto, mkajenga na kutengeneza familia pamoja. Tafuta mwanamke wa dizaini hiyo kisha rudi hapa ucomment. Hao uliowaelezea, wangefaa zaidi kwenye uzi wa jinsi nilivyokula tunda kimasihara!Kwani ndoa ni nini si utumwa?
Kwani unadhani sijawahi kumfumania mpenzi ambaye namweka mjini?
Kama napata maziwa kwanini nifuge ng'ombe?
Unajua nimeshazalisha wangapi?
Ndoa ni utapeli
Kwani dini ni nini?Watoto usiowalea; mpenzi usiye na malengo naye, mwanamke unayemhonga hao wote sio mke! Mke ni yule uliyemlipia mahari, ukatambulishwa kwao naye kwenu, mkawekwa wakfu kwa imani ya dini yako; mkazaa watoto, mkajenga na kutengeneza familia pamoja. Tafuta mwanamke wa dizaini hiyo kisha rudi hapa ucomment. Hao uliowaelezea, wangefaa zaidi kwenye uzi wa jinsi nilivyokula tunda kimasihara!
Unaongeza matawi kwenye mada nyepesi. Umewahi kuishi na mke hata kwa ndoa ya kimila? Au kwa imani yako ya kipagani ndoa ni nini? Nielimishe basiKwani dini ni nini?
Kwanini unataka niamini kama unavyoamini wewe?
Kwa kua umekremishwa ndoa ni msikitini na kanisani endelea kuamini...una mengi ya kujifunza
Ndoa ni upuuzi na utumwa wa asili....Unaongeza matawi kwenye mada nyepesi. Umewahi kuishi na mke hata kwa ndoa ya kimila? Au kwa imani yako ya kipagani ndoa ni nini? Nielimishe basi
Naona umekuja na account nyingine, so kwenu nyie wanaume wanaingia hedhi au may be baba yako mzazi anaingia hedhi.Ushawahi kujinusa damu yako ya hedhi?
Mbona mimi sijawahi kujutia?Watu wengi wanaotembea na wake au wahume za watu wanakuja kujutia baadae tena sana.
Sana sana tena sana.
Na maumivu akija kujua ndoa ya kule imevurugika mtu wa namna hio anakuwa anapata majuto sana baadae,
Wewe fanya sasahivi ila kunakipindi ukifika utaumia sana kwa uchofu huo.
Inakuaje wewe mwanamke unakua single? Unachagua sana? financial servicesHivi wadada wote hawa tulio single mnaona mtuache mkatembee na wake wa wenzenu kweli? Unamuona mzuri sababu mwenzio anahudumia tafuta wako naye umtengeneze.
Mkimaliza mje mtuambie na jinsi mlivofumaniwa na mlichofanyiwa🤔