GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,007
- 5,290
Unasema huna malinda?Kumbe experience ya kugongwa na baba yako unayo,mpaka mda huu utakuwa unatembea na pampas Malinda huna.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasema huna malinda?Kumbe experience ya kugongwa na baba yako unayo,mpaka mda huu utakuwa unatembea na pampas Malinda huna.
Nyie nao utafikiri watotoUnasema huna malinda?
Neno hiliWANAUME TUMEUMBWA KUA VIONGOZI UKITONGOZWA NA MKE WA MTU JUA UYO MWANAMKE NI ANAONGOZWA NA HISIA HAJUI ALITENDALO(Amini) INAWEZA KUA HASIRA(KULIPIZA), AMA MAPENZI TU!
Mwanamke anaweza kukukalibisha kwa mume wake akakuwekea na chakula kabisa alafu mkifumaniwa mwanamke unaweza shangaa ananza kulia anakumbia “sasa tunafanyaje mumewangu ananiua leo, we umeniletea matatzo” sio ajabu ukiona ananza kukulaumu tena wewe wakati ye ndo kakuita kwaiyo kua makini mke wa mtu anapokutaka usijione mwamba sana.
………….
Kumfumania mtu kunahitaji maandalizi kisaikologia, fuatilia mafumanizi yote yanayohusisha viongozi wa dini na viongozi wa mtaa hua hayana shida sababu ya muhusika alikua keshajiandaa kisaikologia kufumania na ameshaujua ukweli ila ikiwa hakua na mpango wakufania na imetokea tu umeambiwa ghafla au umegundua tu mwenyewe tena kwenye hali ya kutokujua kama kweli au si kweli uyu mtu akifika kwenye tukio maranyingi lazima afanye jambo la ajabu,
kwanza mtu anakua hajajiandaa kuupokea ukweli, pili kila mtu ana namna yake ya kureact kwenye issue kama izo, wapo wanao ishia kuzimia(presha), wapo wanatao ishia kutukana matusi ovyo kulaumu na kulia, wapo watao ishia kupiga tuu ila kuna wengine ndo hao huishia kuua au kujiua au vyote.
Hao ni wale walioamini wenzawao kua ndo kilakitu kwenye maisha yao wakawekeza MUDA MWINGI, PESA NYINGI , IMANI KUBWA kwa wenza wao kwa kuamini malipo yatakua ni upendo pekee so linapokuja swala la mahusiano yao kuvunjika jua kwamba haumii et kisa umemgongea mke wake pekee au mume no!! Anaumia sababu pia umehalibu maisha yake KWA UJUMLA na uwekezaji wake wote umepotea sababu yako au yenu.
Chamsingi chunga sana unapolala na mke wa mtu maana ukimwona amependeza au anajileta kwako bila kutaka taraka kwa mumewe kwanza ujue kuna vitu vinawaonganisha na hajawa tiyari kumwacha mumewe yan huo ni mtego unaweza jiona kidume kumbe unalala na kifo chako au kilema chako.
Goodbye.
Kumbe unayajua na ndio maana hauna, endelea kuvaa pampas.Unasema huna malinda?
Huo mtego tu wanacheza sana mademu ili kula hela hapo wamekuchezea mchezo hakuna mke wa mtu wala nn.Niko kwa harakati zangu nimepiga gambe pisi flani ikajitokeza kumbe ni mke wa mtu. Nikaichukua mpaka gheto nikaichapa. Mida ya saa 10 kasoro nikapanga Kuirudisha nikamtuma msela wangu aipeleke na usafiri wangu. Kufika mume wake kazuia chuma kuondoka, mara pisi ikabadilika niliilazimisha show, wakati nilimlipa fresh
Mara napokea simu chuma imezuiwa kuondoka mwamba kaizuia na ameanza kuamsha wananchi wenye hasira kali.
Ikabidi nimpandie hewani mjuba. Akanipa dau analotaka sikutaka kesi iende mbali manake ilikuwa saa 10 inalelekea asubuhi.
Nikaingia ATM nikadrow nikamtuma boda akaipeleka eneo la tukio chuma ikaachiwa, almanusura ichomwe moto. Ingeniharibia CV yangu kitaa kutokana na mishe zangu.
Mke wa mtu ni hatari, wakati mwingine wanawake wanatuingiza kwa misala
Ndyo uliona umlipe hv mwenye nyumbaNilienda kijiji kkimoja kilwa kununua ufuta mwaka jana sasa nikawa nimepanga chumba na ukumbi ila mzee mwenye nyumba ana wanawake wawili mmoja anakaa pale nilipopanga na mwingine anakaa kijiji kingine sasa huyo mama kiumri ni kama miaka 55 hivi halafu hajazaa maisha yake yote halafu anaonekana mbichi sana yaani,basi nikienda mjini nambebea zawadi akawa anafurahi na pale hom huduma zote ziĺikuwa chini yangu siku moja tunapiga stori akawa ananishangaa kuwa hajawahi kuona hata siku moja naleta demu ndani na hajasikia kashfa mtaani kama walivyo wanunuaji ufuta wengine nikamwambia nikweli navumilia tu japo nina ugwadu balaa akaniuliza kweli? Nikamjibu ndio.... stori isiwe ndefu yule mzee akitoka kwenda kwa mke mwingine mimi nalala na mkewe huku nyuma kiukweli nilimfaidi sana yule mama ila majirani wambeya balaa sijui walijuaje kama namla
Ukiendelea na hio tabia lazma utapakwa mafuta siku mojaNilienda kijiji kkimoja kilwa kununua ufuta mwaka jana sasa nikawa nimepanga chumba na ukumbi ila mzee mwenye nyumba ana wanawake wawili mmoja anakaa pale nilipopanga na mwingine anakaa kijiji kingine sasa huyo mama kiumri ni kama miaka 55 hivi halafu hajazaa maisha yake yote halafu anaonekana mbichi sana yaani,basi nikienda mjini nambebea zawadi akawa anafurahi na pale hom huduma zote ziĺikuwa chini yangu siku moja tunapiga stori akawa ananishangaa kuwa hajawahi kuona hata siku moja naleta demu ndani na hajasikia kashfa mtaani kama walivyo wanunuaji ufuta wengine nikamwambia nikweli navumilia tu japo nina ugwadu balaa akaniuliza kweli? Nikamjibu ndio.... stori isiwe ndefu yule mzee akitoka kwenda kwa mke mwingine mimi nalala na mkewe huku nyuma kiukweli nilimfaidi sana yule mama ila majirani wambeya balaa sijui walijuaje kama namla
Ni ngumu sana kunifanyia hivyo na kamwe haitowezekana labda niwekewe dawa ya usingizi ila sio nipo kawaida hiviUkiendelea na hio tabia lazma utapakwa mafuta siku moja
Nawewe utasaidiwa...usije kuliaUkiwa busy wana tunakusaidia [emoji1787]
Acha vitishoNikikuta umetembea na mke wangu nakuroga uwe shoga uliwe na wengine mpaka ufurahi mbwa wewe
hii ilitokea Tanzania aisee? mbona hatujawahi kusikia?kipindi nipo mdogo tunakaa nyumba za kupanga kwa mara ya kwanza nashuhudia jamaa akimfumania mkewe na bahati mbaya mwanaume aliyekuwa naye alifanikiwa kukimbia mke alibaki aisee yule mume mtu alimtoa mkewe chumbani mpaka kwenye korido akamkamata shingo na kumchinja pale pale sitasahau lile tukio mpaka nakufa.. yaani toka wakati huo sikuwahi kumtongoza mwanamke wa wawatu hata unishikie bastola sitajihusisha naye.. ni tukio baya nililowahi kulishuhudia kwa macho yangu ... kijana/vijana acheni hiyo michezo kabisaaa.
Labda kama umeacha wake na madem za watu ila kama bado kuna siku utavunjiwa yai na viuno utakata mwenyeweNi ngumu sana kunifanyia hivyo na kamwe haitowezekana labda niwekewe dawa ya usingizi ila sio nipo kawaida hivi
Tena wewe mbishi mbishi ni mtam kwelikweli maana utaleta ngenga gobole likielekea hukoNi ngumu sana kunifanyia hivyo na kamwe haitowezekana labda niwekewe dawa ya usingmizi ila sio nipo kawaida hivi
Inamaana ushakubalina na hilo kwa sharti la ukilala ukiamka iwe tayari.Ni ngumu sana kunifanyia hivyo na kamwe haitowezekana labda niwekewe dawa ya usingizi ila sio nipo kawaida hivi
Hajabisha, kasema labda apewe dawa ya usingizi. Yaani kama anayesema kwa elfu tano hapana labda elfu 10.Tena wewe mbishi mbishi ni mtam kwelikweli maana utaleta ngenga gobole likielekea huko
Yeah tumwambie tu ukweli mwanetu ya kua spika yake moja ya nyuma soon itabasti kwa kwa kutobolewa na rungu kadhaa za wahuni wasiopenda kelele...Ukiendelea na hio tabia lazma utapakwa mafuta siku moja
Unaelewa lakini?Inamaana ushakubalina na hilo kwa sharti la ukilala ukiamka iwe tayari.
genius indeedKuzungumzia ulimlaje mke wa mtu sio ufahari. Ni kuidharirisha taasisi ya ndoa ambayo ndio msingi wa jamii tuliyopo.
Swali la hivi ni kuonyesha namna gani uzinifu unavyohalalishwa wakati ni chukizo kwa Allah... kwa imani zetu mke wa mtu mwingine si wa kumkaribia ukitaka kuishi maisha ya kumkaribia Muumba wako.
Wanawake na wanaume wote wanatafsiri mbili tofauti za kutoka nje ya ndoa. Mwanaume anatafuta kutimiza tamaa mwanamke anatafuta faraja. Kwa nini tusiwe sehemu ya kuisaidia jamii kutoka hapo na tuwe watu wa kushabikia uzinzi?
Mfano wewe unaesoma piga picha kichwani mwako wazazi wako wapo katika ndoa then unamshuhudia mama yako (au kinyume chake) anatoka kingono na mwanaume mwingine asie baba yako utajisikiaje? Haya ndio mambo yanayofanya kwa sasa tunakizazi kisicho thamani ndoa... kimeibuka kuipinga wakati tatizo tunalitengeneza wenyewe.