Ulishawahi kuwa addicted?

Mimi niko addicted na pombe kuna kipindi niliacha kama mwezi kila nikitaka kunywa hela naweka kwenye kibubu siku nikaamua nijipongeze kwa bia moja oh nilivunja kibubu siku hiyo hiyo
 
am addicted na kula jomoni
Yani njaa ikianza kuniuma kila kitu itabidi nisimamishe kwanza hadi nile ndio network itakaa vizuri

Am also addicted na JF, hazipiti siku mbili sijaingia humu
 
ile ya liver kufa 4
 
Nikikosa bandle kwenye simu utadhani huyu jamaa katoka ICU, Yaani nakuwa mpole ila napo kuwa na bandle Napenda sana kuperuzi ma site ya x za wadada wa kiafrica walivyo wazuri...... hapa ndiyo ndiyo nipo more addicted....


Addicted nyingine napenda sana ngonor sijisifii ila haipiti siku 2 sijaipata.....

Napo kuwa na bandle harakati zangu zinakuwa kama za Robert Mugabe
 
nilkuwa addct na pombe hasa viroba, yani class siingi bila kushitua paper sifanyi kwa ajili ya viroba hadi kuwaza lazima nitupie kidogo beer siinjoi bila kiroba, siwi na furaha bila kiroba sipati pesa bila kiroba kila kitu ilikuwa kiroba, nikaja nikaona haya sio maisha ni kujiuwa na kuna vitu vitanipita vingi sana. sasa nimeacha kila kitu ila sasa nimezama kwenye ku design website kucheza game kubet daa ni majanga tu. NIKIKOSA INTERNET NAUMWA
 
Daa nipo bize nasoma addicts za watu noma sna aisee
 
Mimi mpaka sahivi nipo addicted na video games nikijifungia kucheza Ps3 huwa nasahau kula na ninaweza nikakesha nacheza tu nashindwa kuacha sababu nayapenda mno
PlayStation, nilikuwa so addicted to it, Nashukuru now nimepunguza na nimeigawa kwa mtu
 
n movie na jf ni ulevi tosha
 
Mimi nimekua addicted kwa bangi zaidi ya miaka ishirini ila nimegundua bora nibakie hukuhuku, maana addiction nyingine naona zinavowafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…