Ulishawahi kuwa addicted?

Ulishawahi kuwa addicted?

Mimi niko addicted na pombe kuna kipindi niliacha kama mwezi kila nikitaka kunywa hela naweka kwenye kibubu siku nikaamua nijipongeze kwa bia moja oh nilivunja kibubu siku hiyo hiyo
 
am addicted na kula jomoni
Yani njaa ikianza kuniuma kila kitu itabidi nisimamishe kwanza hadi nile ndio network itakaa vizuri

Am also addicted na JF, hazipiti siku mbili sijaingia humu
 
Martin Taylor ha ha ha ha
Jana kulikua Kuna official launch ya FIFA18

Ila Martin Taylor anapendezesha Sana mechi za EPL akiwepo yeye Kama commitator jinsi anavyotangaza goli Tena usiombe goli liwe Kali utafurahi, mechi ya Liverpool vs man city.

Alisema hivi " Mendy is like another Otamendi without OTA" [emoji23]
ile ya liver kufa 4
 
Nikikosa bandle kwenye simu utadhani huyu jamaa katoka ICU, Yaani nakuwa mpole ila napo kuwa na bandle Napenda sana kuperuzi ma site ya x za wadada wa kiafrica walivyo wazuri...... hapa ndiyo ndiyo nipo more addicted....


Addicted nyingine napenda sana ngonor sijisifii ila haipiti siku 2 sijaipata.....

Napo kuwa na bandle harakati zangu zinakuwa kama za Robert Mugabe
 
nilkuwa addct na pombe hasa viroba, yani class siingi bila kushitua paper sifanyi kwa ajili ya viroba hadi kuwaza lazima nitupie kidogo beer siinjoi bila kiroba, siwi na furaha bila kiroba sipati pesa bila kiroba kila kitu ilikuwa kiroba, nikaja nikaona haya sio maisha ni kujiuwa na kuna vitu vitanipita vingi sana. sasa nimeacha kila kitu ila sasa nimezama kwenye ku design website kucheza game kubet daa ni majanga tu. NIKIKOSA INTERNET NAUMWA
 
Mimi mpaka sahivi nipo addicted na video games nikijifungia kucheza Ps3 huwa nasahau kula na ninaweza nikakesha nacheza tu nashindwa kuacha sababu nayapenda mno
PlayStation, nilikuwa so addicted to it, Nashukuru now nimepunguza na nimeigawa kwa mtu
 
n movie na jf ni ulevi tosha
Facebook kuna mchezo unaitwa Farmville, kuna wakati nilikuwa addicted kabisa, nilikuwa ninapanda mazao kuhakikisha baada ya masaa matatu yatakuwa ni ya kuvuna, nitaharakisha kila ninachofanya ili niwe free baada ya masaa matatu. Kuna wakati nilikuwa ninaamka katikati ya usingizi ili nivune mazao yasioze. Hapo ndipo nilipogundua nina tatizo, nilijitoa. Siku hizi FB ninakwenda kuchungulia tu.

Uliwezaje kuacha addiction yako?
 
Mimi nimekua addicted kwa bangi zaidi ya miaka ishirini ila nimegundua bora nibakie hukuhuku, maana addiction nyingine naona zinavowafanya
 
Back
Top Bottom