Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,272
tehe tehe tehe[emoji481] [emoji481] [emoji482] [emoji482]
Nitaacha kesho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tehe tehe tehe[emoji481] [emoji481] [emoji482] [emoji482]
Nitaacha kesho.
Hapo tukumbushane kesho na miminaweza kuacha etii[emoji481] [emoji481] [emoji482] [emoji482]
Nitaacha kesho.
na jim beglinNa john champion
ile ya liver kufa 4Martin Taylor ha ha ha ha
Jana kulikua Kuna official launch ya FIFA18
Ila Martin Taylor anapendezesha Sana mechi za EPL akiwepo yeye Kama commitator jinsi anavyotangaza goli Tena usiombe goli liwe Kali utafurahi, mechi ya Liverpool vs man city.
Alisema hivi " Mendy is like another Otamendi without OTA" [emoji23]
mkuu haufahamu inamadhara kwa dushe yako..jaribu kuacha au tafuta manzi wakukutoa kipururu kwa % nyingi utaisahau hiyo kitu na hautakuwa tena mwanachama wa CHAPUTAniko addicted na punyeto
PlayStation, nilikuwa so addicted to it, Nashukuru now nimepunguza na nimeigawa kwa mtuMimi mpaka sahivi nipo addicted na video games nikijifungia kucheza Ps3 huwa nasahau kula na ninaweza nikakesha nacheza tu nashindwa kuacha sababu nayapenda mno
Sikuigawa moja kwa moja kila napohitaji naenda kuichukua nacheza kisha nawaambie waje kuchukuaSasa mkuu si ungenigawia mimi maana yangu inazingua
Facebook kuna mchezo unaitwa Farmville, kuna wakati nilikuwa addicted kabisa, nilikuwa ninapanda mazao kuhakikisha baada ya masaa matatu yatakuwa ni ya kuvuna, nitaharakisha kila ninachofanya ili niwe free baada ya masaa matatu. Kuna wakati nilikuwa ninaamka katikati ya usingizi ili nivune mazao yasioze. Hapo ndipo nilipogundua nina tatizo, nilijitoa. Siku hizi FB ninakwenda kuchungulia tu.
Uliwezaje kuacha addiction yako?
Yeah ni PlayStation 3Hapo sawa mkuu ni PlayStation 3 au ?
Yeah ni PlayStation 3Hapo sawa mkuu ni PlayStation 3 au ?