Ulishawahi kuwa addicted?

Muache apende hivo bwana je angekua addicted na wanawake si ungelia kila mara kama umetiwa kitunguu maji.

hahaa hujaelewa tu maana ya addiction ya mpira !ni hana tym ya kukaa na familia yake !huwa namshauri achukue hata kaform kakugombea bas ukatibu wa mpira mkoani kwake !jaman hapaana jaman too much! yaan nataman sijui kufanya nn !hapanaa
 
hahahahaha angekuwa wangu huyo tungeenda naye sawa! pole kwa kuboreka my dia
 
Napenda, njoo nikufundishe kubet ili uwende naye sawa! ni mwendo wa kutengeneza mikeka hadi kieleweke...hahahah

ahahha una familia ?? nianzie hapa !hv mwanamke unabet?haaaaaaaa me ndan naonaga wanaume tu yamejipindaaaaaaaa km yanaangalia matokeo ya form6 mxiew! shoga mie ninakesha na fashions news! yaan hapa najitizamia spice tv nikichoka nahamisha tu ! hayo madude jaman yanahitaj uwe zwazwa wa maisha !argh
 
My 1st addiction...kusoma bible..,na pili napenda kuskiza music especially gospel music...all day long.....kuna kipindi nilikuwa addicted kumsikilza mchungaji mmoja anaitwa Myles Munroe......
Ni jamaa mmoja yuko vzr sanaa
Daah Myles Munroe na Joel osteen... Hawa jamaa kuna kipind nlikuwa nawasikiliza mila wakati
 
ohooo sasa wewe unaleta matusi kwenye biashara za watu! kumbe umekariri unadhani betting hadi uingie vibandani,wenzio wanabet online na maisha mengine yanaenda! tena ushike adabu yako wakikusikia wenye michezo yao utachezea vitasa..addiction za watu...kwako haramu kwa wenzio halaliii oooohooo endelea na fashioooon yako!tuache tutengeneze mpunga haha tena utuombe radhi....shubamitiiiii
 
ahahahahhahha naomba' lazi' bigboss charty ! dah kwakweli ninakazi kubwa ! unaweka pesa unaliwa 80% mxiew
 
My 1st addiction...kusoma bible..,na pili napenda kuskiza music especially gospel music...all day long.....kuna kipindi nilikuwa addicted kumsikilza mchungaji mmoja anaitwa Myles Munroe......
Ni jamaa mmoja yuko vzr sanaa
oh Mungu akubariki mno... tena sana kwa vijana wa leo kusoma maandiko ni changamoto mno,Myles Munroe yuko vizur hata mie nimejitahidi kusoma baadh ya vitabu vyake,Apumzike kwa amani
 
ahahahahhahha naomba' lazi' bigboss charty ! dah kwakweli ninakazi kubwa ! unaweka pesa unaliwa 80% mxiew
umesamehewa kabisa shost yaani siku ukijua ni kiasi gani unapoteza kwa kuto kubet utajipiga vibao...haahhah am kidding lakini...yourlife...yourchoices!!
Itabidi nikutafute unifundishe mambo ya fashioooooooon na mie hahahah
 
ahahha fashooon !haya mama enjoy !bas wee hata pool uancheza
 
jaman mie unavyoongea hvyo ni mume wangu !jaman sipend mwanaume aliyetumbukia kwenye janga la mpira !!!!!!hamnaga ya kufikiri mengine zaid ya kuangalia mpira ! nakereka sana jaman !dah yeye anaitwaga shevishenko kbs !arghh
Wanaume wapenda mpira ni waaminifu, mwekee tuu kifurushi Cha king'amuzi ndani msapoti kuangalia nae mpira hata kinafiki tuu kama sio mpenzi wa mpira.
Kama ni mnywaji Pombe mwekee na bia pia ndani maana kwa wanywaji Pombe huenda sambamba na mpira weekend Kama hii basi hapo hana sababu ya kwenda bar, mkiwa mnaangalia mpira half time mnapiga mgededo kwenye sofa huku mnasubiri mechi iendelee ila Kama mumeo shabiki wa arsenal sahau hilooo.

Hii ndio njia ya kudumisha ndoa au penzi kwa mwanaume mpenda mpira.

Cc. MBITIYAZA
 
hahaha ni shabiki wa arsenal na hajawah angalizia hom !kwahyo ushauri wako ushafeli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…