sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Chagueni team kbsa stock city mniachieItabd tuandae Friendly Match
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chagueni team kbsa stock city mniachieItabd tuandae Friendly Match
Ha ha ha ha mie mniachie Classic IX OLD SCHOOL.Chagueni team kbsa stock city mniachie
Acha kupenda kunyanyasa wenzio na hao ma robot mkuuHa ha ha ha mie mniachie Classic IX OLD SCHOOL.
bonge moja la idea...ila tatizo utakuta tuko mikoa tofautiItabd tuandae Friendly Match
Hii addiction ni kama angu. Aisee nisipokuwa na ela naumwa,nakosa furaha kabisa...Niko addicted na mshahara na pesa all the time. Nikikosa pesa nakuwa kama drug addict
Huwa nadhani niko peke yangu. Naweza nikasahau nilipokuwa naenda nikikuta mpira hata wa timu ambazo sizifahamu.Addiction yangu mpira wa miguu tuu, achilia mbali Manchester united timu ninayoishabikia ila imefika mahala naangalia ligi yoyote inshort nikigundua Kuna mechi yoyote inachezwa iwe ligi ya Italy, uholanzi, ufaransa au Spain nimo.
Hapa Kama leo imefika ijumaa nikiingia ndani ni mpira tuu mpaka j3 kazi yangu kubadili tu stations za mipira, hii addiction Wala sijutii inanisave na mengi ya walimwengu ingawa mahusiano yangu ya mwisho yalikufa kutokana na mwenzangu kushindwa kutokana na mpenzi yangu mpira yaliyopitiliza mipaka.
Napoongelea mpira wa miguu namaanisha kuangalia mpira, kubishana kuhusu mpira nipo kwenye groups kama 4 hivi za soccer, mavazi yangu ya kushindia nyumbani na mishemishe za hapa na pale kwa kiasi kikubwa ni jezi za mpira, marafiki wangu wengi wamebase kwenye mpira, Mimi sio muongeaji asili yangu Kama sio kubishana mpira basi tunaeza kukaa kimya hata masaa mawili usiponiongelesha, kwa vijana wa Sasa wapenda mpira Kuna kitu kinaitwa FPL ( Fantasy premeir league) humo namo nimo hii ndio imenishika kabisa.
Hiii addiction inaenda sambamba na muziki simu yangu ina application ya Spotify nikiweka earphones masikioni nisahau kabisa ukipiga simu sipokei hata awe ya boss.
iyo kitu acha kabisa..unakuta tayari nishapiga weed yan mbaka naonaga uvivu kwenda kulalaAiseee kumbe wadau tumejazana humu tu
Aisee wewe nahsi ndyo unafaidi kuliko wote +weediyo kitu acha kabisa..unakuta tayari nishapiga weed yan mbaka naonaga uvivu kwenda kulala
Nimeshindwa kuacha kuvuta unga toka mwana 98
Na kucheza video games mpk kesho mm bado nacheza game tena sasa hivi mwanangu akifunga shule ndio tunapiga game mpk saa 8 usiku
hivi alosto haikupati..mazee acha bora bangi kuliko unga dohNimeshindwa kuacha kuvuta unga toka mwana 98
Na kucheza video games mpk kesho mm bado nacheza game tena sasa hivi mwanangu akifunga shule ndio tunapiga game mpk saa 8 usiku
yan mzee baba i cant explain it, sijawai ona starehe kama hii chini ya juaAisee wewe nahsi ndyo unafaidi kuliko wote +weed
Duh madam kuna wakati nikiwa mvulana niliwah kumpenda Bhooke mpenzi wangu hadi nikipishana na mwanamke mwingine njiani alomzidi sura najishtaki kwake...siku hizi ni ex wangu na huwa namtumia happybirthday sms mara moja kwa mwaka!Facebook kuna mchezo unaitwa Farmville, kuna wakati nilikuwa addicted kabisa, nilikuwa ninapanda mazao kuhakikisha baada ya masaa matatu yatakuwa ni ya kuvuna, nitaharakisha kila ninachofanya ili niwe free baada ya masaa matatu. Kuna wakati nilikuwa ninaamka katikati ya usingizi ili nivune mazao yasioze. Hapo ndipo nilipogundua nina tatizo, nilijitoa. Siku hizi FB ninakwenda kuchungulia tu.
Uliwezaje kuacha addiction yako?
bila post za Bujibuji ninapumulia machineNiko addicted na JamiiForums nisipo ziona post za Sky Eclat mi nagonjweka (nakuwa mgonjwa)