Ulishawahi kuwa addicted?

Ulishawahi kuwa addicted?

My 1st addiction...kusoma bible..,na pili napenda kuskiza music especially gospel music...all day long.....kuna kipindi nilikuwa addicted kumsikilza mchungaji mmoja anaitwa Myles Munroe......
Ni jamaa mmoja yuko vzr sanaa
 
Mimi ninadhani niko kwenye hali hiyo, sijawahi kupigwa ban, lakini babu Aspirin akitaka hug usiku ananikuta niko JF, mbona kasheshe.
Goodmorning honey...

Addiction ya mahaba yako, Naomba Mingu isinitoke.

Niwe addicted mpaka ntakaporudisha uhai kwa Muumba.
 
Nilikuwa addicted na JF lakini automatically nikapona. Nashangaa hivi sasa naweza kupita hata wiki bila kuingia humu.
 
Mimi mpaka sahivi nipo addicted na video games nikijifungia kucheza Ps3 huwa nasahau kula na ninaweza nikakesha nacheza tu nashindwa kuacha sababu nayapenda mno
Mkuu hiyo ni homa ya jiji watu tunasahau hadi kula.
 
Nimecheza sana Mpira nina hadi medals za ndondo cup


jaman mie unavyoongea hvyo ni mume wangu !jaman sipend mwanaume aliyetumbukia kwenye janga la mpira !!!!!!hamnaga ya kufikiri mengine zaid ya kuangalia mpira ! nakereka sana jaman !dah yeye anaitwaga shevishenko kbs !arghh
 
jaman mie unavyoongea hvyo ni mume wangu !jaman sipend mwanaume aliyetumbukia kwenye janga la mpira !!!!!!hamnaga ya kufikiri mengine zaid ya kuangalia mpira ! nakereka sana jaman !dah yeye anaitwaga shevishenko kbs !arghh
mumeo ana bet pia? maana raha ya kupenda mpra ujue na kubet ili ukufaidishe
 
BIG NO bora nivute bangi kuliko hii kitu,ilikua namwambia hapo nitaenda shule ya mapishi,nikafundwe kwasababu anadai kila nikipike lazima niunguze hahahahaaa! au nitakuja kwa MBITIYAZA unifundee shost...


ahahah haaa kumbe kupika tu !hapo sawa nimekuelewa !kwa suala a bangi nikukonect na demi ! mie nahakika siku nikija vuta hayo madude nitachizi!
 
Back
Top Bottom