kilichokufanya ucheat kwenye ubachela n nini
Mbu usiogope bwana. lakini kama unadhani kwa utalosema hapa unaweza kunyimwa visa home, ur excused.
wapo kabisa....
Kule kwenye POLL naona swali halijakaa vizuri sana. Linasema hivi: UMESHAWAHI KUCHEAT NA MTU MWENYE NDOA?
Kwa mtazamo wangu swali lingekuwa hivi: Kama umeoa au kuolewa, umeshawahi kucheat?
Inabidi pia kufafanua mtu aliyeoa au kuolewa ni yupi ili wote tuwe tunaongea lugha moja. Ka mfano, kama mimi ninaishi ''kinyumba'' na mwanamke, say kwa miezi mitatu sasa, nahesabika kama niliyeoa??
hujisikii aibu kutembea na mwanamke anayelingana na Mama yako mzazi, please change your habit my bramimi nipo sijaoa, lakini napenda kutoka na mademu wanaonizidi umri,wanene kiasi hasa makalio na upaja, warefu kwa sana, sasa nina girlfriend ananizidi 10yrs, yaani nimekufa sina hali, huyu ni wa saba sasa, lakini nashangaa kwanini napenda watu wakubwa tuuuu?
Is it in theatres now? Or its an old movie which I have to find out?
It was realesed in December 2009 (USA) so check it out on DVD...
Sorry guys off topic but I had to answer my friend....
Ila Roselyn umenishangaza kwakweli... I'll make sure u dont come near my husband :laser:
Sikudhani kama wana miguu mitatu...... I didnt think u will devalue urself because of a GUY...Umenishangaza kwanini ukubali kutoka na mwanaume wa mtu mwengine... yani what good will u get out of him... u will always be his alternative... his wife and family will always come first...nimekushangaza na nini sasa???kwani unadhani akina da sopphy wana miguu mitatu???....make sure you do!ukijisahau tu....:fencing::fencing::cheer2:
Sikudhani kama wana miguu mitatu... I always look down at ppl like her... I didnt think u will devalue urself because of a GUY...
Umenishangaza kwanini ukubali kutoka na mwanaume wa mtu mwengine... yani what good will u get out of him... u will always be his alternative... his wife and family will always come first...
Anyway it depends on how far u can go to protect ur dignity because for ppl like me I would choose my dignity over a relationship...or may be I think i am very special someone who deserve special human being... Not any guy ...
Kajaa tele, vipi unataka kucheat na mimi? Usijali, tutafanya siri.................
Sorry when I say devalue I didnt mean other ppl will devalue u,,,, I meant by doing so u will be degrading urself ...Is that always the case?...labda hamyaoni yanayoendelea huku mitaani...!
when i decide to go out with a guy,whether married or not...i dont think i put into consideration whether people will devalue me or not....i live in my own standards!
special human being?....this canot be someone s'husband?....in my books,he can well be!!
Sorry when I say devalue I didnt mean other ppl will devalue u,,,, I meant by doing so u will be degrading urself ...
So what exactly are u looking into a relationship if I may ask... sex? money?
Being a woman myself I know what we are really looking in a relationship... a woman looks for much more than sex or money in her man. She looks for stability, reassurance, understanding, friendship, help around the house, someone to lean on and a shoulder to cry on.... now if u r getting urself into a contract with a married man how will u get all that?
Mie naona nyie ndio mnachezewa na hao wanaume... they get what they want and then u r nobody to him....after all u was just an escape...if things get well in his house he will not want to hear or to know u....
Sorry when I say devalue I didnt mean other ppl will devalue u,,,, I meant by doing so u will be degrading urself ...
So what exactly are u looking into a relationship if I may ask... sex? money?
Being a woman myself I know what we are really looking in a relationship... a woman looks for much more than sex or money in her man. She looks for stability, reassurance, understanding, friendship, help around the house, someone to lean on and a shoulder to cry on.... now if u r getting urself into a contract with a married man how will u get all that?
Mie naona nyie ndio mnachezewa na hao wanaume... they get what they want and then u r nobody to him....after all u was just an escape...if things get well in his house he will not want to hear or to know u....
...and if i play my cards right,he will forget his wife and his damn family....!!!
.....being a mistress doesnt mean am less of a woman,so long as i give your husband what he wants from me,i will make sure i get what i want from him,this be money,sex ama stability,reassurance and other things you mentioned!....married men are good providers of all these otherwise hii biashara ya nyumba ndogo isingeshamiri....
Bravo! Ujue unanisuuza sana rohoni na majibu yako. Unayoyaandika mara nyingi nakubaliana nayo kabisa. Wake wengi sana waliomo ndani ya ndoa wanacheat lakini wao hawajioni kama wanachofanya hakistahili ila huwa wa kwanza kuwaonyooshea vidole wanawake wanaocheat na wanaume zao. Endelea kunisuuza roho yangu.
Ohhh nilishawahi kucheat mara moja yaani kwa muda ila na mtu mmoja, it was fun though hahahaaaaaa!!!!!!! but no more cheating. NIMEKOMA
Msiniulize maswali hahaaaaaaa