Qulfayaqul
JF-Expert Member
- Apr 10, 2008
- 480
- 84
Dogo umeanza kulala na wamama ukiwa na umri mdogo na sasa umenogewa teh teh teh kaaaaaaaaaaaazi kweli kweli. WEnzio pia tuna ugonjwa wa kupenda dogodogo ama kweli aliyezoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi.mimi nipo sijaoa, lakini napenda kutoka na mademu wanaonizidi umri,wanene kiasi hasa makalio na upaja, warefu kwa sana, sasa nina girlfriend ananizidi 10yrs, yaani nimekufa sina hali, huyu ni wa saba sasa, lakini nashangaa kwanini napenda watu wakubwa tuuuu?
this is a very useful post, is it possible to have mods do the polls, as people wouldnt like to come out and declare but polls will show us the trend and then maybe for those interested we can then discuss the statistics and try to understand the meaning and wisdom behind the big infidelity !
Rose... You sure will get what u want but for u to buy ur happiness on the price of other person's happiness is wrong, I am sure eventually u r gonna pay the highest price for doing so... remember what goes around comes back around...Sorry when I say devalue I didnt mean other ppl will devalue u,,,, I meant by doing so u will be degrading urself ...
So what exactly are u looking into a relationship if I may ask... sex? money?
Being a woman myself I know what we are really looking in a relationship... a woman looks for much more than sex or money in her man. She looks for stability, reassurance, understanding, friendship, help around the house, someone to lean on and a shoulder to cry on.... now if u r getting urself into a contract with a married man how will u get all that?
Mie naona nyie ndio mnachezewa na hao wanaume... they get what they want and then u r nobody to him....after all u was just an escape...if things get well in his house he will not want to hear or to know u....
...and if i play my cards right,he will forget his wife and his damn family....!!!
.....being a mistress doesnt mean am less of a woman,so long as i give your husband what he wants from me,i will make sure i get what i want from him,this be money,sex ama stability,reassurance and other things you mentioned!....married men are good providers of all these otherwise hii biashara ya nyumba ndogo isingeshamiri....
Rose... You sure will get what u want but for u to buy ur happiness on the price of other person's happiness is wrong, I am sure eventually u r gonna pay the highest price for doing so... remember what goes around comes back around...
nikama unasema nabomoa nyumba yako ili nijenge yangu... WTF? U r so dead b4 u reach near my house....
this is a very useful post, is it possible to have mods do the polls, as people wouldnt like to come out and declare but polls will show us the trend and then maybe for those interested we can then discuss the statistics and try to understand the meaning and wisdom behind the big infidelity !
..what is rite for you,might not beneccesary rite for me....you can call the whole process wrong,since its you who loose in this game but akina da sopphy wins....
...happiness if is what you get from somebody s' husband ,now you want me to leave all these just because am feeling sorry for his damn wife??you better play your cards right as a wife,and forget about playing sympath game,because you will get none!!!not from da sopphy not from your husband who decide to cheat on you on the first place....
hahaha huo mfano wa nyumba umenichekesha,if there is no space i might as well bomoa nyumba yako,what do you want me to do nijenge on top of your house no?!...cha kunifurahisha,ni kwamba ninapata full suport from your husband kny kubomoa hio nyumba,,,,,you might be well pleased to hear this..LOL
wife ni member wa JF.
Mimi sijaoa, lakini nimewahi kuwa na uhusiano na mke wa mtu tena mshkaji wangu sana huyo jamaa. Na huyo shemeji alijitongozesha mwenyewe, alianza kunisifusifu misifa ambayo sina uhakika ninayo, na kwa bahati mbaya hata yeye ni mzuri sana anavutia na kutamanisha sana, mwisho tuseme alinipata na tukaendelea for 2 years bila mumewe kujua. Na hata nilipokuja kuachana naye mumewe hakuwa amegundua. Na alining'ang'aniza sana kwenye huo uhusiano, hakutaka tuachane kabisa. Lakini kuna hofu fulani iliniingia pamoja na guilt hasa tunapokutana na mumewe katika shughuli zetu, nikawa najisikia vibaya sana, so finally nikamwacha. Sikuwa na girlfriend nilipokuwa na huyo shemeji. Nadhani wadau mnakubali sijawahi ku-cheat.
Rose who told u am that kind of woman who gonna accept defeat easly? Like I said before u r not getting near my man and u r so dead b4 u reach near my house lolllll :laser:... I wasnt playing no sympathy game, lakini nilikuwa nataka nijue motive ya kina Da Sophy......what is rite for you,might not beneccesary rite for me....you can call the whole process wrong,since its you who loose in this game but akina da sopphy wins....
...happiness if is what you get from somebody s' husband ,now you want me to leave all these just because am feeling sorry for his damn wife??you better play your cards right as a wife,and forget about playing sympath game,because you will get none!!!not from da sopphy not from your husband who decide to cheat on you on the first place....
hahaha huo mfano wa nyumba umenichekesha,if there is no space i might as well bomoa nyumba yako,what do you want me to do nijenge on top of your house no?!...cha kunifurahisha,ni kwamba ninapata full suport from your husband kny kubomoa hio nyumba,,,,,you might be well pleased to hear this..LOL
mke wa mshikaji wako ni zaidi ya kucheat!
....duuuh, hehehe....inaonekana Roselyne1 ukimpata mume wa mtu 'unamkamata kuroho!', mkewe na wanawe warie tu,...ha ha ha...safi sana mama'ke kwa uwazi na ukweli huu...
damn, ndio maana naogopa nyumba ndogo.
Carmel, haya tayari nishatumbukiza kura yangu hapo juu, naona 'tunazidiana' kwa kura kila siku, kumbe watakatifu sio wengi kiviiiile? LOL.
Usijaribu tena hata kufanya urafiki nao hawa........duuuh, hehehe....inaonekana Roselyne1 ukimpata mume wa mtu 'unamkamata kuroho!', mkewe na wanawe warie tu,...ha ha ha...safi sana mama'ke kwa uwazi na ukweli huu...
damn, ndio maana naogopa nyumba ndogo.
Carmel, haya tayari nishatumbukiza kura yangu hapo juu, naona 'tunazidiana' kwa kura kila siku, kumbe watakatifu sio wengi kiviiiile? LOL.