Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

  • NDIO

    Votes: 48 60.0%
  • HAPANA

    Votes: 33 41.3%

  • Total voters
    80
Moderators naomba poll iwekwe kwenye jukwaa kuu la forums ama zaidi ya sehemu 1; kuna watu hawafiki huku lakini tungependa kupa kura zao
 


maskini Noname, unaandika kwa uchungu mpaka na feel how much you hurt kutetea nyumba yako. Yaani tunawaumiza sana wake zetu jamani, hebu tubadilike jamani!

Nyamayao, thx . Kuwa na nyumba ndogo kama anayoitolea mfano roselyne1 ni uuaji.
 
maskini Noname, unaandika kwa uchungu mpaka na feel how much you hurt kutetea nyumba yako. Yaani tunawaumiza sana wake zetu jamani, hebu tubadilike jamani!

Nyamayao, thx . Kuwa na nyumba ndogo kama anayoitolea mfano roselyne1 ni uuaji.

wanaume wote wangejua hilo nadhani dunia ingekuwa paradiso...
 


am glad ume acknoledge hio rensponsibility,manake tulikuwa hatuelewani nadhani kwa sababu ya kuwanyooshea vidole akina da sopphy peke yake....

afu umeandika kwa uchungu,ushawahi kuwa cheated on nini???

naenda kumtafuta dada sopphy tupange mkakati wa kum'mkwapua' mumeo!!!!.....:rolleyez::target:
 
Sie wengine wenye vi shuhuli vya kusafiri safiri bana haaaa, kwa swali hili ni sawa na kuuliza misalaba kwenye Makaburi ya Kikristo...
 

ha ha haa...wewe mchokozi kweli aisee khaaaaaaaaaaaa????!!!
 
Hivi nikiishazaa na nyumba ndogo,nakuwa bado na cheat au niko swaaaafi,mana siku hizi nyumba ndogo ndio jamabo la kwanza hilo-ili kubadili status
 
Mimi nipo single bado -lakini ukweli ni kwamba kwa wale wenye ndoa,cku unapoanza kutoka nje ya ndoa ndo cku matatizo ndani ya nyumba yenu yanapopata mwanya. Mara ugomvi mara nini-Ili mradi tu zile baraka mlizopewa na mwenyezi mungu umezi apply vicvyo. Kwa wale ambao hamjaoa au kuolewa ,chezeni hiyo michazo ila muwe makini saana na kwa wale mliokwisha oa au kuolewa tulieni na familia zenu Ili muendelee kupata baraka toka kwa mungu.

Msisahau ukimwi ndo kwanza umeanza-hiyo vita c kweli kwamba maambukizi yamepungua-yapo palepale na yanazidi kuongezeka.

Kumbukeni ya kuwa wazuri hawaishi. Hivyo kila kitu tulichonacho ni cha mpito tu.
 

...kumbe hujaoa, Oa kwanza kisha utakuja kuhukumu vizuri.
Sanduku la kura mpaka sasa lishajaa kura 32 za NDIO dhidi ya 21 za HAPANA...
 
Mimi niko single na katika maisha yangu ya ku date I have never dated/got involved with a married man nor cheated.
 
Pepo wa ngono atawapeleka kubaya mshindwe na mlegee:angry:
 
Moderators naomba poll iwekwe kwenye jukwaa kuu la forums ama zaidi ya sehemu 1; kuna watu hawafiki huku lakini tungependa kupa kura zao

Hakuna unafiki bana.

Cheating ni jadi yetu wote bana toka agano la kale ukitazama kuanzia, Eva mayb be alicheat na Nyoka (Swaatan), Abrahamu alicheat na Mjakazi akapata Ismail, Tazama Kisazi cha Mzee Eliya, Esssau na Jakob, Lutu, Mfalme Suleiman, Mfalme Daudi na wale wote unaowafahamu kwenye Biblia walikuwa na zaidi ya mtu mmoja (unampataje mwingine kama si cheating kwanza?).

Haya mambo ya ubinafsi ndo yanaleta tafsri za ajabu...we cheat pale inapobidi lakini kumbuka kinga na uangalie vizuri usikamatwe, usipo cheat mwenzio ata cheat kwa nafasi yake huko!
 
lol sijaandika kwa uchungu I was bit serious though... I wouldnt say i have not been cheated or my heart never been broken because I will be lying... but I took my time to heel...

hahha eti mumkwapue... U know we have already figured out how we can keep the walls and the windows of our marriage secured...:hug: so hard luck labda mkamkwapue Chrispo or Geoff...
 
maskini Noname, unaandika kwa uchungu mpaka na feel how much you hurt kutetea nyumba yako. Yaani tunawaumiza sana wake zetu jamani, hebu tubadilike jamani!

Nyamayao, thx . Kuwa na nyumba ndogo kama anayoitolea mfano roselyne1 ni uuaji.

Thanks for feeling my pains... and thanks very much for acknowledging the underlined
 


noname, hiyo ndoa bado changa sana, wifi yetu tutamkosa bure, hajajua game vizuri, huyo mwingine kashakwapuliwa kitambooo, ni neema za Mungu tu zimrudishe kundin.
 
Najaribu kufanya Takwimu mazingira haya niliyopo sasa na watu ninaowafahamu naona kama 85 % wanaume wanacheat..15% wanawake wana-cheat ...
Sijui kwa nini haturidhiki na tulivyonavyo?
 

Hapo kwenye bold ndio kiini cha mada hii. Na pale nilipopigia mstari ndio suluhisho. Lakini siyo wote wanao cheat lazima wawe na hilo tatizo, kuna wengine ni tabia yao.

Tatizo ni hili: msichana anatendwa na mwanaume A, then anaenda kutendwa na mwanaume B and so on ... matokeo yake anakuja ku-conclude kwamba wanaume wengi kama siyo wote huwa sio waaminifu kwenye ndoa/mahusiano yao. Hapo ndipo akina Da Sophy na Rose wanapokuja na falsafa ya jino kwa jino.

Mwanamke akiumizwa kwa kuwa cheated ama kuwa heart broken na chochote kile, asipo heal .... matokeo yake ndio hayo. Ukisoma between the lines kwenye michango ya Roselyn kuna msg kubwa ambayo iko hidden ... watu wameumizwa inafika mahali mioyo yao inakuwa sugu na ndipo mambo yanakuwa moto kwa moto.

Je, msichana akitendwa na wanaume 3 au zaidi, ataendelea kuwa anasaka new husband/bf mpaka lini? Au akitendwa na wanaume wengi tofauti aamue kuwa single for ever? Is it possible?
 
[/B]



afu umeandika kwa uchungu,ushawahi kuwa cheated on nini???

naenda kumtafuta dada sopphy tupange mkakati wa kum'mkwapua' mumeo!!!!.....:rolleyez::target:

Ni ma- Sadist pekee ndio hufurahia kujeruhi na majeraha ya wenzao! With that sentence you are one of them!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…