Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

  • NDIO

    Votes: 48 60.0%
  • HAPANA

    Votes: 33 41.3%

  • Total voters
    80
mmefikia wapi na mahesabu yenu..... :brick:

sijawahi cheat,ila sina mipaka! mtu akinitongoza...siangalii huyu ni mume wa mtu ama sio!...na habari ndio hii!

nyie mnaoswear hapa,kuwa waume zenu hawajawahi cheat,nina hamu ningepata 'wasaa' hata kama mchache na waume zenu...:target::target:.
 

Oh! Gosh! Did I tell you that you're my type? When did I do that? Sina stress yoyote ile ila nakushangaa wewe kila siku huna cha maana cha kuzungumza ila ngono tu. Hakuna topic za kutaka kujiendeleza kielimu, kibiashara n.k. ni ngono ngono ngono tu. Ukilala unawaza ngono na ukiamka unawaza ngono na kutaka kupekua maisha ya watu. Inaonyesha ni jinsi gani uwezo wako wa kufikiri ulivyokuwa finyu. Umeshafahamu wanaume wangapi na wanawake wangapi wanaocheat katika ndoa zao? na wanacheat mara ngapi kwa wiki, mwezi na mwaka? Akili finyu utazijua tu hazipotei hata kwenye kadamnasi.
 
Ndoa yangu ina miaka 4 sijawahi kucheat kwenye ndoa. ila huko nyuma kwenye ubachela nimeshawahi kucheat
 
 
Mada ngumu na nzito lakini ni vizuri watu wakawa wakweli huenda wengine wakapata uponyaji kupitia mada hii.

Nimewahi kusema huko nyuma kuwa ninamshukuru Mungu bado niko salama mpaka sasa.

Ndoa yangu ni ya miaka tisa sasa na sijawahi kutembea nje ya ndoa. Hata kabla ya kuoa sikuwahi kulala na msichana/mwanamke yeyote kwa sababu zifuatazo;

1. Nilihesabu kulala na msichana/mwanamke ambaye si mke wangu ni kumkosea Mungu (Dhambi)
2. Niliogopa kuwa nikilala na msichana raha/utamu nitakaopata kwake nitakuwa naulinganisha na utamu atakaokuwa ananipa mke wangu. Comparison hiyo niliogopa ingekuja kuniathiri na kujikuta sitosheki kwa mke wangu.
3. Sikutaka awepo msichana/mwanamke yeyote ambaye angemdharau mke wangu kisa alitangulia kulala na mimi.

Hivyo hata baada ya kuoa sababu hizo ndizo bado zinanifanya nisitembee nje ya ndoa. Pamoja na kuwa na majaribu ya kuwa mbali na mke wangu kwa miezi kadhaa kwa sababu ya kazi lakini navumilia kwani nikirudi nyumbani inakuwa kama ndo tumerudi honey moon ya miaka tisa iliyopita.

Nawashauri ambao hawajawahi kwenda nje ya ndoa/hawajawahi kucheat wasifanye hivyo na hii itawapa kuwafurahia wenzi wao na kufurahia ndoa zao.
 
......Sijawahi cheat na wala sitokuja kucheat, ndoa yangu almost ni miezi 6 sasa. Na kabla ya ndoa mimi na my hubby tuliweka kanuni kwamba kama mmoja wetu atakuja cheat basi ndio utakuwa mwisho wa ndoa yetu.
 
...... Mimi na my hubby tuliweka kanuni kwamba kama mmoja wetu atakuja cheat basi ndio utakuwa mwisho wa ndoa yetu.

Si mpaka ujue kama kacheat au umkamate live!?

Kuna watu hata wakibambwa, wanasema it wasnt me!
 
Si mpaka ujue kama kacheat au umkamate live!?

Kuna watu hata wakibambwa, wanasema it wasnt me!

............Mwenzako akicheat lazima utaona dalili tu, hivyo akicheat no discussion ni divorce tu.
 
............Mwenzako akicheat lazima utaona dalili tu, hivyo akicheat no discussion ni divorce tu.

Hapana bana.......kufikiria divorce ni kwenda mbali mno Pretty. Discussion kwanza
 
......Sijawahi cheat na wala sitokuja kucheat, ndoa yangu almost ni miezi 6 sasa. Na kabla ya ndoa mimi na my hubby tuliweka kanuni kwamba kama mmoja wetu atakuja cheat basi ndio utakuwa mwisho wa ndoa yetu.

Wajameni kuachana katika ndoa siyo rahisi hivyo...kikubwa tuombeane mungu tufike bandarini salama. Nyingine zinaweza kuwa longolongo maana hujafa hujaumbika.
 
kwa mlioko Marekani na mnajua mmewahi kucheat mnayo haki ya kutojibu swali hili kwa mujibu wa Mabadiliko ya 5 ya katiba ya marekani! - so mnaruhusiwa kusema "I plead the fifth" in the tradition of Dave Chapelle! Kumbuka lolote utakalosema hapa ukipuuzia haki yako hiyo laweza na litatumiwa dhidi yako kwenye mahakama ya chumbani.

Kwa upande wangu, I plead the fifth!
 
............Mwenzako akicheat lazima utaona dalili tu, hivyo akicheat no discussion ni divorce tu.

Aaah wapi! Kuna wengine hakuna cha dalili wala nini. Na hata kama unaona dalili hiyo haimaanishi chochote kwa sababu unaweza ukawa uko insecure tu. Na so called dalili si kumkamata mtu red handed kwa hiyo dalili hazithibitishi chochote.
 

You...of all people...you plead the fifth?....Lol
 
Mh! Hii mada! Binafsi nashindwa hata kujisemea kimoyo moyo kuwa niliwahi kucheat kwani nahisi kama wife ananisikia na roho inanisuta.
 
Wakubwa mmezunguka lakini hakuna alojibu hoja hapa. Binafsi sijawahi kucheat. Niko single for life for the sake of God's service that i vowed to offer to his people!
 

....duuuh, mshafikishana mpaka kwenye masuala ya kuungama sasa? aaah, endeleeni tu mimi bado kwanza....nitaungama siku nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…