Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisikia fyoko fyoko ndio hizi sasaMimi mdogo wangu wa mwisho anazaliwa nilikuwa sijui chochote hivo nilishtukia tu mama yupo na mtoto hata kipindi akiwa mjamzito sikutambua chochote
Umenikumbusha mbali mkuu, mdogo wangu wa mwisho wakati anazaliwa Bi Mkubwa alisema amemnunua dukani.Mi sikushuhudia, ila nilikuta zile story za kununua mtoto...
Wazee walikuwa Kamba sana. Ndo mana sisiemu imetuweza kindeziUmenikumbusha mbali mkuu, mdogo wangu wa mwisho wakati anazaliwa Bi Mkubwa alisema amemnunua dukani.
Nimekuja kujua mtoto anazaliwa baada ya kusoma topic ya Ukuaji kwenye somo la Sayansi darasa la 6.
Kweli Wazee wa Zamani walituweza 🙌
×8? Umetisha MkuuMiaka ya nyuma akina mama walipata(kujifungua) watoto hadi kumi+.Kwa hiyo yule wa kwanza kuna uwezekano alimuona ,kwa wastani,mama yake akiwa mjamzito mara nane.🤔
Wa kwanza anazaliwa.Akifikisha miaka miwili,mama yake ananasa ujauzito wa pili.Yule wa kwanza anakuwa bado hajui ujauzito ni nini.Kwa makadirio,akifika miaka minne hadi mitano na kuendelea ndipo ataanza kujua.Na atajua hasa kupitia maneno ya watu waliowazunguka au udadisi asilia wa watoto.Unaona?🤔×8? Umetisha Mkuu
😂😂😂😂😂Ulikuwa bado unatumia antenna chenga kibao.Hukuwa umefikia viwango vya dish.Usisikitike.Mimi nilivyokua mdogo nilijua baba kazaliwa na mama eti😅😃
Pia nilizani neno kufiwa lina maana ya kufi....lwa hivyo wanapunguza ukali wamaneno ili nisijue dah akili za utoto bhana🤔🤔
Kingine pia nilikua naogopa kuku hadi nyama yake yaani mimi nikiona nyama ya kuku natoka mbio🙄🙄
Kwa kweli aisee, yaani walituweza sana.Wazee walikuwa Kamba sana. Ndo mana sisiemu imetuweza kindezi
Wengi siku hizi wanafyatua harakaharaka ili kuepuka hilo.Haitikiwi iwe hivyo,inatakiwa mama afunge uzazi mapema siyo mtoto mpaka anajua kwamba mama ana mimba.
Na inawezekana kabisa wala hakujua kama mama ni mjamzito, zamani watoto hatukuwa smart mama anatoka hosp na mtoto unaambiwa ametoka kununuliwa na hapo mama alikuwa amelazwa siyo kwamba hata alienda na kurudi!Miaka ya nyuma akina mama walipata(kujifungua) watoto hadi kumi+.Kwa hiyo yule wa kwanza kuna uwezekano alimuona ,kwa wastani,mama yake akiwa mjamzito mara nane.🤔
Nimelizingatia hilo.Soma komenti #12.Na inawezekana kabisa wala hakujua kama mama ni mjamzito, zamani watoto hatukuwa smart mama anatoka hosp na mtoto unaambiwa ametoka kununuliwa na hapo mama alikuwa amelazwa siyo kwamba hata alienda na kurudi!
Absolutely...yesNa inawezekana kabisa wala hakujua kama mama ni mjamzito, zamani watoto hatukuwa smart mama anatoka hosp na mtoto unaambiwa ametoka kununuliwa na hapo mama alikuwa amelazwa siyo kwamba hata alienda na kurudi!
Mimi mdogo wangu wa mwisho anazaliwa nilikuwa sijui chochote hivo nilishtukia tu mama yupo na mtoto hata kipindi akiwa mjamzito sikutambua chochote