Ulisikia muziki huu kwa mara ya kwanza Ukiwa wapi?

Pale Morogoro Bilibi ilikuwa inapiga kwenye kumbi za starahe, siyo majumbani, na DJ wake mkuu (nimesahau jina lake) alikuwa na undugu na DJ wa Clouds (au Mawingu) ya Dar es Salaam ambaye nadhani alikuwa ni Joseph Kusaga.
 
Bilibi ilikuwa inapiga kwenye kumbi za starahe, siyo majumbgani, na DJ mkuu (nimesahau jina lake) alikuwa na undugu na DJ wa Clouds ya Dar es Salaam.
I know the guy since childhood, ila utotoni madisco nimeanza kuyafahamu nilipoanza form one. Before that I didn't know any discotheque na hata boogie dances kama za YMCA nimeanza kwenda nikiwa form one.
 
Kaoma (Loalwa Braz)- Lambada

Huyo mwimbaji Loalwa Braz mwenyewe alifariki 2017; hao watoto wawili walioweka chachu kwenye wimbo huo walichukua maisha ya tofauti kabisa baada ya hapo. Yule mvulana Chico alimua kuwa mchungaji kwenye kanisa la kiprotestant, na yule msichana Roberta akawa mcheza sinema.


View: https://www.youtube.com/watch?v=-hosJTEjYQ4
 

Labda anamuongelea Kaka yake ila jina ndio kakosea au?
 
Mobutu seseko alikuwa katili sana.Inasemekana hata luambo makiadi alipitia misukosuko Kwa mobutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…